Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Jeshi wana unit yao kabisa nje ya hii yenye raia. Sitoitaja but hii tuilio izoea ina paramilitary officers ambao hawako tied to majeshi yetu ila wana operate kama independent unit, na hushirikiana na majeshi mengine likija suala la kushughulikia case zinazohitaji direct action, sabotage
 
Nadhani hiyo ni lugha tu ya kijasusi!

Lakini kiuhalisia ni ngumu sana!!

Nafikiri anapata joto kali Toka Kwa Tabasamu anaeandaa vijana wake waje wawe!!

Lakini hiyo haitagusa high profile kubwa sana kwenye mfumo ambao ni ngumu kuwatoa wala kuwahoji!

Halafu kwanini taarifa kama hii imevuja!!?hasara ya kuvuja hii taarifa ni kubwa sana labda kama ni propaganda!!

Waingize wazalendo walio neutral kuliko kuendeleza vita ndani ya chama na Mitandao yake!!
 
Kikubwa ndo hicho hii ngoma watu wameenda pabaya.....hata hao paramilitary ndo ma connector wa uraiani na jeshini
 
Serikali hii ina mambo ya kipumbavu sana aisee!
 
"unanijua mimi nani" jibu likatoka kwa mlevi "matak""0 ya mbwa" kusikia hivyo yule kijana akatoa macho kwa jazba akijipapasa kiunoni akijitutumua bila shaka alikuwa na mguu wa kuku. Huwezi kutafuta heshima sehemu za starehe kwa kuitumia cheo au mamlaka Yako.
Kuna watu wa hivyo sana kwenye hivi vitengo najiuliza wanafanyiwa vetting au ndio zile kazi za ukoo.
 
Dah
 
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI unatakiwa kujua system haitegemei MTU, bali watu ndio wanaitegemea system, Hata raisi akistaafu hana commands Zaidi ya kufanya figisu na majungu Tu,

Watu ss ivi wako kitaa wameweka mikono mashavuni, kuna Siri gani hapo SS.
Kama Wao ni wanaume wa Kweli watikisike waone ๐Ÿ”ฅ.
 
๐Ÿฅบ
 
Kuna vitu Huwa nawashangaa sana watu!!

Unafanyaje hujuma Kwa muajiri mkuu Tena ukijua fika kwamba IPO siku atajua!!?

Halafu Ili iweje!!?kama unaona hafai subiri waliomweka wamhukumu sio wewe kuanza hujuma Ili aonekane hatoshi!!!

Liwe funzo kwa wote wenye mlengo huo!
 
Ss kama walio muweka ndio wanakuambia utekeleze hujuma Huku wakikusogezea briefcase limejaa USD dollars, ๐Ÿ’ต ,utafanyaje ?,
Ndio maana USA raisi akimaliza Muda wake anaondoka na watu wake wote.
 
Mkuu GENTAMYCINE pia mwambie Maza Kile kijitabu alicho kisema , akilete mbele ya hadhira kifanyiwe marekebisho, la sivyo..๐Ÿ˜‚
Ina maana the state Bado wanamsimamo wao ule ule kwamba"uchaguzi wa serikali za mitaa na ujao usubiri kwanza katiba mpya ipatikane"!!

Mbona kama too late!!?au niamini kwamba "mtajwa asipokamilisha kitabu itakua too late kwake"!!!?

Sasa kama ni hivyo hao wanao sabotage sio kwamba wanawasaidia kazi kutokana na mtajwa kuchelewesha kitabu!!?

Nimemkumbuka Tumia akili na maandiko yake eti "wale conservative wanaotaka mambo yabaki hivi hivi watakaushwa kimya kimya"!!!yaani wale wanaotaka katiba ya zamani iendeleee kutumika kulinda wakubwa!!!

Kwako Blender!
 
Ss kama walio muweka ndio wanakuambia utekeleze hujuma Huku wakikusogezea briefcase limejaa USD dollars, ๐Ÿ’ต ,utafanyaje ?,
Ndio maana USA raisi akimaliza Muda wake anaondoka na watu wake wote.
Waliotemwa sidhani kama Wana maisha marefu!

Wame wa dump jalalani Ili iwe rahisi kuwategea mitego ya kuwasafirisha kwenda ulimwengu wa pili!!

Maana hujuma walioifanya ni usaliti dhidi ya jamuhuri na jamhuri haiwezi kuwaacha salama!!

Nadhani!
 
Kitabu kwanza
 
Hicho kitendo hakiwezekani kwa sababu taasisi ni diverse. Mfano officers waliopo kwa DSO kule Nkasi, wanahusikaje na mipango hatarishi hadi kufukuzwa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ