Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

When it comes to Elections mboga mboga huwa wana ungana vibaya mno kupambania makazi ya jirani na ferry, after elections figisu zinaendelea as usual huku maadui wanakuwa wameji twist. Wapo wanaobakia na nyongo huku wengine wanakuwa neutral.
 
Huyo kigogo kigogo wa sasa siyo yule wa enzi za jiwe.Huyu wa sasa analisha watu matango pori tu
 
Kuna mahali niliwahi soma makala fulani inasema kwamba masaa 24 ni mengi sana kwenye uwanja wa siasa na mambo yanabadilika kabisa.
 
Baada ya kuongea Na jamaa wa ikuru amethibitisha kuwa ni kweli kuna baadhi ya vitengo vimevunjwa haswaaa
Lakini sio system NZIMA

Isipokuwa start now ukifanya kosa kidogo tu unafurumushwa

Ilifikia hatua kuna mawaziri ndio walikuwa wanaamua mother apewe taarifa gani za kiujasusi duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…