Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Huyu mama yuko very secure politically.
Probably atachaguliwa kugombea urais 2025.
Lakini JPM alishinda Uchaguzi vizuri lakini akatoweka baada ya Uchaguzi.
Na huyu itabidi tuone what will happen on the day after the inauguration.
Sasa hivi huyu mama ana very great opposition, albeit silent,kwa ajili ya pangua pangua isiyokuwa na mwisho .
Watu kama wanakutana privately kufanya serious discussions it is better kama wangekunywa soda.
Serious discussions zisifanyike na pombe kali.
Watu wengine wana suggest mama hatapata nomination ya 2025. Lakini mimi sijaona kitu chochote sasa hivi kinachotishia political support ya huyu mama .
When it comes to Elections mboga mboga huwa wana ungana vibaya mno kupambania makazi ya jirani na ferry, after elections figisu zinaendelea as usual huku maadui wanakuwa wameji twist. Wapo wanaobakia na nyongo huku wengine wanakuwa neutral.
 
1722597685851.jpg
 
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.

Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo cha kufuta Kazi Watendaji wote wa Taasisi hiyo ni Kulivalisha BOMU la HATARI kabisa Taifa letu?

Ningeambiwa kuwa Taasisi imeamua Kufuta Kazi baadhi ya Watendaji wake kutokana na Uzembe au Ufanisi Haba wa Kiutendaji ningekubali na pia hata kuunga mkono kwani hata Mimi mara kadhaa hapa hapa JamiiForums nimeshasema kuwa Taasisi inahitaji madadiliko makubwa.

Tena kwa Mataifa makubwa yanayojua nini maana ya hiyo Taasisi kama ya Urusi, Israeli, Uingereza na Ufaransa yao yakifikia tu huu Uamuzi huwa hawaishii tu Kuwaondoa Kazini ( Taasisini ) bali huhakikisha pia wanapiga Sindano za Sumu ili kila baada ya muda Mmoja Mmoja anakufa.

Na kama hii Taarifa ni Kweli basi ninajua hivi sasa Ndugu yangu 'Sinenepi ila nina Akili Nyingi' hapo jirani kafurahi. Na pia kama hii Taarifa ni ya kweli basi nina uhakika kuwa kuna Mtanzania Mmoja si tu Katuchoka bali pia Katuchukia sana na sasa anataka kutuingiza Matatizoni ili akaishi zake Uarabuni.
Huyo kigogo kigogo wa sasa siyo yule wa enzi za jiwe.Huyu wa sasa analisha watu matango pori tu
 
Huyu mama yuko very secure politically.
Probably atachaguliwa kugombea urais 2025.
Lakini JPM alishinda Uchaguzi vizuri lakini akatoweka baada ya Uchaguzi.
Na huyu itabidi tuone what will happen on the day after the inauguration.
Sasa hivi huyu mama ana very great opposition, albeit silent,kwa ajili ya pangua pangua isiyokuwa na mwisho .
Watu kama wanakutana privately kufanya serious discussions it is better kama wangekunywa soda.
Serious discussions zisifanyike na pombe kali.
Watu wengine wana suggest mama hatapata nomination ya 2025. Lakini mimi sijaona kitu chochote sasa hivi kinachotishia political support ya huyu mama .
Kuna mahali niliwahi soma makala fulani inasema kwamba masaa 24 ni mengi sana kwenye uwanja wa siasa na mambo yanabadilika kabisa.
 
Baada ya kuongea Na jamaa wa ikuru amethibitisha kuwa ni kweli kuna baadhi ya vitengo vimevunjwa haswaaa
Lakini sio system NZIMA

Isipokuwa start now ukifanya kosa kidogo tu unafurumushwa

Ilifikia hatua kuna mawaziri ndio walikuwa wanaamua mother apewe taarifa gani za kiujasusi duh
 
Back
Top Bottom