Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

Walileta mazoea mpk kufikia kuhatarisha kiti kikuu, ila kuwa na amani kwani wote waliotemeshwa watafuatiliwa nyendo na mawasiliano yao hivyo hawatokuwa na madhara, Lakini pia itakuwa imekata mnyororo wa uvujaji wa taarifa nyeti.

Haiwezi kukata mnyororo wa uvujaji taarifa nyeti kama mambo yanayofanyika hayana tija kwa Taifa ila kwa hao viongozi peke yake. Kuna wakati ni rahisi sana kudanganya nafsi zetu wenyewe. Tuanze kutumikia kwa uadilifu Taifa. Mengine yote kinyume na hilo, ni recipe for a disaster. Namuangalia Zuma nacheka. Yes alikuwa spy mkubwa ila ameingia kwenye hali ile kwa kuamua.
Tuache rushwa na matumizi mabaya ya madaraka
 
Mkuu GENTAMYCINE kama una connection ya Maza mwambie tunampongeza Sana, 😂, pia amefanya jambo 1, la users.

bado pia akabadilushe hardwares and operate systems , coz Hao wapuuzi alio wafukuza wameichezea Sana hiyo 👆 mifumo,
Anatakiwa anunue mifumo mipya ya hardwares and softwares kutoka Israel, Russian etc ...
 
Wamesepeshwa wengi ila sidhani kama ni wote, kuna ambao wamebaki....
...huoni watu walikimbilia kujiuzulu huko tunguli lilishaonyesha mbele ni giza
Itakuwa kuna mpiga ramli wa kigiriki. Sio yule wa Kikongo, Kiboko ya wachawi, ambaye kanisa lake limefungiwa. Alimpigia Lau ramli chonganishi yule muhuni ikala kwake
 
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.

Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo cha kufuta Kazi Watendaji wote wa Taasisi hiyo ni Kulivalisha BOMU la HATARI kabisa Taifa letu?

Ningeambiwa kuwa Taasisi imeamua Kufuta Kazi baadhi ya Watendaji wake kutokana na Uzembe au Ufanisi Haba wa Kiutendaji ningekubali na pia hata kuunga mkono kwani hata Mimi mara kadhaa hapa hapa JamiiForums nimeshasema kuwa Taasisi inahitaji madadiliko makubwa.

Tena kwa Mataifa makubwa yanayojua nini maana ya hiyo Taasisi kama ya Urusi, Israeli, Uingereza na Ufaransa yao yakifikia tu huu Uamuzi huwa hawaishii tu Kuwaondoa Kazini ( Taasisini ) bali huhakikisha pia wanapiga Sindano za Sumu ili kila baada ya muda Mmoja Mmoja anakufa.

Na kama hii Taarifa ni Kweli basi ninajua hivi sasa Ndugu yangu 'Sinenepi ila nina Akili Nyingi' hapo jirani kafurahi. Na pia kama hii Taarifa ni ya kweli basi nina uhakika kuwa kuna Mtanzania Mmoja si tu Katuchoka bali pia Katuchukia sana na sasa anataka kutuingiza Matatizoni ili akaishi zake Uarabuni.
Ndio hivyo, na wale walioshiriki kuwafukuza, wamefukuzwa!!!
 
Mkuu GENTAMYCINE kama una connection ya Maza mwambie tunampongeza Sana, 😂, pia amefanya jambo 1, la users.

bado pia akabadilushe hardwares and operate systems , coz Hao wapuuzi alio wafukuza wameichezea Sana hiyo 👆 mifumo,
Anatakiwa anunue mifumo mipya ya hardwares and softwares kutoka Israel, Russian etc ...
Kwakuwa Yeye ( Rais Samia ) na Mzee Kikwete na hata Watendaji wengi Waandamizi wa hiyo Taasisi 24/7 wananisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums nina uhakika wa 100% kuwa yote haya uliyoyaandika hapa wameyaona na watayafanyia Kazi.
 
Kwahiyo kumbe hii TAARIFA ni ya kweli kabisa Mkuu?
Jamaa walileta uhuni kote wakavumilika , wakajiona watoto wa mjini wakaamua kwenda kabisa kuukweka kwa wazee wa mabakamabaka🤣🤣🤣huko ndo wakajiharibia ,hao jamaa ukibip wanakupigia hawarembeshi.......na kwa sasa ngoma linaweza kusukwa kwa style ya bwana sinenepi,........watu walitaka kuanza kusuka mambo yao kwa style ya mwarabu wakashtukiwa........unaleta dp wedi unajua umewini wakati upande wa pili kuna kambi ya jeshi🤣🤣🤣watoto wa mjini viazi sana
 
K
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.

Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo cha kufuta Kazi Watendaji wote wa Taasisi hiyo ni Kulivalisha BOMU la HATARI kabisa Taifa letu?

Ningeambiwa kuwa Taasisi imeamua Kufuta Kazi baadhi ya Watendaji wake kutokana na Uzembe au Ufanisi Haba wa Kiutendaji ningekubali na pia hata kuunga mkono kwani hata Mimi mara kadhaa hapa hapa JamiiForums nimeshasema kuwa Taasisi inahitaji madadiliko makubwa.

Tena kwa Mataifa makubwa yanayojua nini maana ya hiyo Taasisi kama ya Urusi, Israeli, Uingereza na Ufaransa yao yakifikia tu huu Uamuzi huwa hawaishii tu Kuwaondoa Kazini ( Taasisini ) bali huhakikisha pia wanapiga Sindano za Sumu ili kila baada ya muda Mmoja Mmoja anakufa.

Na kama hii Taarifa ni Kweli basi ninajua hivi sasa Ndugu yangu 'Sinenepi ila nina Akili Nyingi' hapo jirani kafurahi. Na pia kama hii Taarifa ni ya kweli basi nina uhakika kuwa kuna Mtanzania Mmoja si tu Katuchoka bali pia Katuchukia sana na sasa anataka kutuingiza Matatizoni ili akaishi zake Uarabuni.
Kama wamezingua unapiga chini wote na hio si ndio kitu mnataka au ?
 
You cant fire all of them at the same time, however kama habari hizi zina ikweli wowote labda idara fulani but not all of them
 
Hii taasisi ina upande wa jeshi na upande wa uraiani,,,huku uraiani walileta upuuzi wao wakavumiliwa sasa wakajisahau wakapitiliza na ambao wamechomolewa wengi ni wa upande wa mabakabaka......unamdharau rais huku unajua pia ni amiri jeshi mkuu,, watu wameyakanyaga
 
Back
Top Bottom