Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

Lipa waliofukuzwa wakati ule, bajeti kama hizi zingetoka wapi? If so fedha za namna hii ziwe excluded by its totally, and then watafute THE ACTUAL LOST FUNDS!
 
Yasifanyike makosa tena ya kupata Rais ambae hakijiandaa kuwa Rais kama anko Maguu.

Kimbembe mlikiona.

Ni vizuri kukawepo na utaratibu kwa muda wa kutosha Na kujulikana mapema jina nani na nani wanatarajia na wamejiandaa kutumikia watanzania Kama Supreme Leader?!

Kuchukua mtu ambae hajajiandaa ili kumkomoa mwingine ambae Pengine unakuta ni kweli anakuwa na matatizo genuine inaleta shida kubwa kwa Umma.
 
Mchakato wa Uraisi nchi za wenzetu huchukua muda mrefu wa kutosha ili kuibuka na walau mwenye afadhali.
 
Haya mambo ya vificho vificho na kuogopana kuona nikitangaza nia Mwenyekiti wa chama atani-mind ndio mwishoni kule yanakuwa kama yale na kina mamvi na Maguu.
 
Mama sisi walipa kodi tunaumia sana tunavuona kod zetu zinatafunwa na wachache tena bila huluma mhe Rais tunakuomba wote walitajwa wachukuliwe hatua na mali zao kutaifishwa
 
Hakuna kipindi ambacho hii nchi haijawahi kuibiwa, huyo jiwe mnaye sema sijui kipindi chake hakukuwa na wizi ndo kipindi akina makonda walimiliki majumba na magari kifahari yenye thamani ya mabilion ya pesa wakati wanapokea mshahara wa million 6 tu kwa mwezi.

Pia kipindi hicho cha jiwe ndo profesa Asad alifichua ubadhirifu wa trion 1.5 lakini jiwe akamshukia kama mwewe.

Miaka 6 ya jiwe hatukuwahi kuona fisadi yeyote akihukumiwa kwenda jera hali ya kuwa mafisadi yanajulikana.

Jiwe kitu ambacho alikifanya mpaka nikamkubali ni kukomesha tabia za uzembe makazini na kuanzisha baadhi ya miradi mikubwa ya kimkakati lakini kuja kunambia eti alidhibiti wizi hilo nakukatalia mpaka nakufa.
Umeelewa alicho sema.amesema ni bora kipindi cha JPM wizi ulikuwepo ndio ila sio kama wa kipindi hiki huu umezidi mzee
 
Ndugu zangu, Uraisi siyo kazi ya kitoto. Urais siyo lelemama. Hata Nyerere alilitambua hilo hadi akasema mtu anayetumia nguvu au fedha kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma.

Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba mpaka Dakika hii Samia nchi imeshamshinda, hakuna nchi ngumu kuongoza kama Tanzania ukizingatia ni Mzanzibar hata jiografia ya bara inampiga chenga.

Iko hivi, kuna maeneo watu wanajipigia bila uoga wala aibu kwa sababu wote ni wezi kuanzia TAKUKURU, Polisi hadi mawaziri Hakuna wa kumchunguza mwenzake. Huko kwenye halmashuri hali ya wizi ni mbaya sana.

Kikwete mwenyewe alishawahi kukiri. Nanukuu, "Nawaletea chuma hiki maana mlikuwa mnasema Mimi ni mpole, sasa anakuja mkali". Mwisho wa kunukuu.

Watanzania hawatakiwi kudekezwa utavuna mabua, nchi ilipokuwa imefikia kipindi cha kikwete Magufuli alikuwa hakwepeki that is why Hayati alipitishwa. Sawa?

Je, mlimsikia Mzee Makamba kipindi hicho? Nanukuu, "Huyu atawabatiza Kwa moto siyo maji tena" Walimtabua Kuwa alikuwa mtu sahihi kwa Watanzania.

Sasa nakuja kwa mama Samia ni hivi, Maza hana meno wahuni wa mjini wanamdhalilisha hajui afanye nini. Muda utafika wanachi hawatataka Hata kusikia jina lake.

Maana hawezi kubatiza Kwa moto wa siyo mkali, upole wake umezidi wa Kikwete. Kwa Mwenendo huu ubadhilifu wa kodi zetu kutumiwa na watu binafsi upo pale pale ndiyo maana kila kukichwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kama wewe unalipa Kodi PAYE, afu mwisho wa SIku unasikia watu wamepiga pesa afu wanaishia kusutwa tu badala ya kurudisha hela inauma sana. Aiseee tunafanyia KAZI watu. Mishahara yetu inakatwa kodi ili watu wale badala ya kuleta maendeleo.

Busara ilikuwa ni kukamilisha miaka 10 ya Awamu ya tano akae pembeni kwa heshima Tofauti na hapo atapata tabu sana. Pia kama taifa tutakuwa tumepata hasara kubwa mno.

Nawasilisha.
Kada yako tafadhali
 
Kuanzia 2025 nchi itaongozwa na upinzani! Kumbuka hii.
 
Ye anapenda vile anavyopigiwa salute na misafara inamfuata pamoja na kuwasuta majukwaani mahasimu wake kisiasa kama alivyofanya kwa Job Ndugai. Hivyo tu.

Nje ya urais anajua hawezi kuwa na guts za kufokea fokea, kuwatukana na kuwasuta wanaume na wasomi.
True, she has no guts Kwa wasaidizi wake
 
Inategemea na wajeda wanasemaje! Wakimkubali umchague usimchague 2025 atapeta! Utabaki na kura yako ya hapana kwenye mabox ya kura!
Deep state ya Tanzania sijui ni akina Nani, ila mataifa yaliyomakini angestep down Kwa maslahi mapana ya taifa. kama Trump alivyofanyiwa USA.
 
Mbona kuna mengi tu yamefichwa ambayo yakiachiwa nchi itapasuka. Kuna pesa nyingi mno huyu mama ka,itoa nje ya utaratibu wa bunge na bajeti.

Mfano aliwalipa dowans billion 360 bila hata bunge kujua, amempa January Makamba trillion moja wanazosema wanaboresha mitambo ya tanesco ambapo Januari alisema zinatakiwa trilioni 4 ili kukamilisha zoezi.

Kuna pesa ambazo Nape alikiri wamewapa wenye maduka ya kubadilisha fedha kama kifuta machozi.

Kuna billions of shillings zimepigwa wakati wa zoezi la anuani ya makazi na hakuna chochote cha maana zaidi ya kuchukua mitipori na kupachika.

Huko NHIF alipo Makinda wamepotea ripoti sababu Makinda alimsifia sana Magu kiasi cha kuwabeza wanaomsema vibaya Magu ndio maana file lake limeachiwa.

Ndugu kila kitu kikiwekwa wazi tutakimbiana. Ikumbukwe mpaka sasa mama ameshakopa zaidi ya trilioni 20 ndani ya miaka miwili na mpaka sasa thamani ya vitu alivyofanya haifiki hata trilioni 7.
Umenena VYEMA.

Nimeshangaa Sana eti anuani ya makazi Hakuna ufisadi. Je pesa Za Royal Tour mbona hazijatajwa.

Mengi Tu yamefichwa kuna BBT ya Bashe
 
Back
Top Bottom