Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

Naona mnajianzishia vi-thread vya kujifariji but in reality Mama ana ubutua mwingi mengine ni siasa Tu za maji taka na chuki binafsi mlizo rithi kutoka Kwa Yule shetani mkuu
 
Naona mnajianzishia vi-thread vya kujifariji but in reality Mama ana ubutua mwingi mengine ni siasa Tu za maji taka na chuki binafsi mlizo rithi kutoka Kwa Yule shetani mkuu
upo Tanzania au upo nje ya nchi mkuu
 
Hii feeling ipo nchi nzima..

Ngoja, muda utasema.
 
Tanzania Kwa Hali tulikofikia ya Wizi na ufisadi mkubwa, sasa
Tufuate mfumo wa Singapore, Rais asiwe mwanachama wa chama cha siasa
 
Comment yangu haihusu UDINI.
kiukweli tangu nimezaliwa kwanza sijawahi kuona Raisi wa dini tofauti na ukristo na uislam na wamekua wakipishana hivyo kwa awamu mbili mbili lakini kiukweli akiingiaga mtawala wa dini ya kiislam uharibifu huwa ni mkubwa kuliko akiwepo wa kikristo, sisemi kwamba wao hawafanyi makosa hapana lakini kiukweli islam wanakuaga wapole sana mfano: mwingi mzee wa ruksa alikua mpole kiasi cha kupigwa kofi hadharani.
Kikwete alikua mzee wa kusmile tu yani na kwenye utawala wake upigaji ulikua mkubwa japo hela ilikua nyingi mtaani
Samia sasa ndio unaambiwa ndani ya miaka miwili aliyokaa watu wanajipigia waziwazi bila shida yani[emoji17]

Tawala za Kristian angalau ni wakali kidogo si kwamba wanazuia upigaji lkn angalau kaheshima kapo.

Nimewahi kuuguza mgonjwa kipindi cha aliyepita ukweli huduma zilikua nzuri sana hospitali yaani kiukweli sikupata tabu yyt na mgonjwa aliuhumiwa vizuri tofauti na sasa nalazimika kukimbilia private.
Japo alikua na mapungufu yake mengine lkn kiukweli heshima angalau ilikuwepo

Kimoja nachowaza ni je, ndivyo inavyopaswa kua hivyo? Kwamba mmoja akiwa mkali Basi ataemfatia awe mpole?

Upigaji huu hauwaachi salama mawaziri na kwa akili zangu nawaona wakitafta pesa za uchaguzi ujao kimyakimya japo ni mapema sana lkn kuna uwezekano.

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwahiyo kipimo cha kiongozi mzuri ni kufoka kama chizi au siyo
 
True, she has no guts Kwa wasaidizi wake
Ni raisi gani alishawahi kuwa na guts kwa wasaidizi wake??? Tuliona mpaka vituo vya luninga vinavamiwa hapa wale watu walifanywa nn? Shida ni pale tunapoamini kwamba kiongozi lazima afoke hiyo ni mgt ya wapi?
Tunataka wafuata sheria siyo wanao bweka bweka kama wqpuuzi
 
Kwahiyo kipimo cha kiongozi mzuri ni kufoka kama chizi au siyo
Yes. Nenda Kwa wachina na wahindi ukafanye kazi kindezi ndezi unaweza kupigwa Hata kofi.

Hawabembekzi MTU Katika KAZI all CEOs of big companies ni watu WA kufoka foka sembuse raisi uanimba tarabu
 
Boss kalinde kaburi
 
Ela tu z uhamisho hazitoki Kwa wakati Kuna jamaa zangu walimu wamepewa uhamisho toka mwez wa kwaza 2023 mpk sasa hawajapata stahik zao..chemba DC
Wapigaji bado wapo wengi
 
Mkuu Magufuli harudi Tena hata umpambe vipi
 
Bora uwaambie
 
 
 
Miaka 6 ya jiwe hatukuwahi kuona fisadi yeyote akihukumiwa kwenda jera hali ya kuwa mafisadi yanajulikana

Jiwe alikuwa anajua njia za wezi na ndio maana alikuwa anwakamata na kuwasweka lupango halafu anawaambia warudishe hela walizoiba baada ya Hapo aliwaachia badala ya kulitia hasara taifa kwa kuingia gharama za kuwalisha wakiwa jela!! Manji alifilisi NSSF na ndio maana akatiwa ndanai na mpaka leo kakimbia nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…