Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Umesahau kuweka namba ya simu
 
Jibu hoja sio kkujilinganisha na USA.
We're sovereignty state.
mnaposema Tanzania ni maskini, ni dhidi ya Nani? Hujui kwamba umasikini unaonekana kwa kuwepo kwa tajiri. Nchi zote duniani zinaitumia USA kama factor ya kujipima na kujilinganisha.
 
Shaka ndio msemaji wa chama ungemuachia hiyo kazi. Maana yeye ana taarifa zitakazomuezesha kujibu hoja za upande mwingine.
Shaka ni mtumishi na anatenda kwa kadiri ya utumishi wake na jukumu la kujibu hoja sio la shaka pekee ni la kila mwanachama mwenye nia na dhamira njema
 
Sikatai kuna changamoto lakini lazima changamoto ziwe zinaakisi ukweli wa hali kwa kuzingatia data zilizopo.

Amini nakuambia ,kwa mfano takwimu halisi inasema ukosefu wa ajira upo kwa 50% lakini kwa lengo la upotoshaji wanaweza kusema ni 80 na lengo ni kupotosha. Hizi ni siasa za kilaghai

Achana na data za makaratasi njoo site, njoo ground ndio utapata majibu
 
Kama ni Majaliwa waziri mkuu tambueni kwamba ana kiapo Cha kutunza Siri hivyo hawezi kukaa na kuongea ongea huku atavunja kiapo chake.

Unayoyasikia kwa Mhe. Majaliwa amini nakwambia ndio hayo anayotakiwa kuyasema na ndio unayopaswa kuyajua
Anatakiwa kusema uongo?
 
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara.

Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani kuona hayo yakifanyika hivyo nimejitoa kujibu hoja zote za upotoshaji dhidi ya CCM.

kuanzia ishu ya mikopo, sera za elimu ,upatikaji wa maji na upatikaji wa mikopo ya elimu ya juu na ajira kwa wahitimu na mengineyo ambayo kwa namna moja au nyingine yamebeba maisha ya watanzania walio wengi, juu ya yote nimejipanga kuyajibu kwa hoja hapa yakiibuliwa kwa lengo la upotoshaji.

Ndugu wanaCCM wenzangu muwe tayari kuuvamia na kuushambulia huu ulingo kwa hoja yoyote ya upotoshaji.
Kujichosha tu aiseh.
 
Awezaye kukitetea Chama Cha Mapinduzi - CCM ya kina Magufuli na Samia Suluhu ni mwendawazimu pekee...!

Labda umeamua kujipachika ukichaa na uwendawazimu huo...

Endelea ila usianze kutukana wenzake watakapokuwa wanakuponda Kwa nyundo maana hizo ndo zenu nyie CCM..

Maana huwa mnaposhindwa ama kuelemewa na hoja, huwa mnaamua kutumia risasi za moto na matusi na kuteka na kuumiza wakosoaji wenu...
 
Labda utakuwa umesahau lakini ngoja nikukumbushe, muasisi wa siasa za fujo na visasi Tanzania ni CHADEMA. Hakuna mahali popote mbunge wa CCM alipowahi kutukana iwe ndani au nje ya bunge lakini aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini Mr.Mbilinyi a.k.a Sugu alitumia ishara ya dole la Kati huku taifa zima likiangalia mpaka watoto.

Kutokana na hayo mambo ya aibu serikali kwa kuangalia maslahi mapana serikali kwa nia njema ikazuia bunge live.

CCM si chama Cha kukimbia hoja na hivyo kilivyo lakini siasa za kupakana matope ambazo muasisi wake ni CHADEMA zimefifisha na kunajisi taswira nzima ya demokrasia.

Kipindi hiki tuite' a start to an end' kwamba mwanzo wa mwisho wa siasa za kuchafuana, kupigana na kutukanana.
 
Kujichosha tu aiseh.
Kwa ajili ya CCM sichoki aiseeh, ni kama wale wanatembea kutoka Dsm mpaka butiama kumuenzi mwalimu huwa wanafanya kitu wanachopenda ndio maana hawachoki
 
Me pole aiseh
 
Back
Top Bottom