Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

Sina njaa kama uliyonayo wewe.
Yes mimi ninanjaa ya mafanikio na kuipenda bara haswa, siwezi kuruhusu wezi kutoka Zanzibar waibe mali zetu ajili ya vizazi vyetu vya baadae nikakaa kimya na kushangilia kijinga kama wewe kisa nipate uteuzi wa kishetani.
 
Kwani ulisikia wapi kuwa nimetuma maombi ya kuomba uteuzi? Naona unatamani sana nipate uteuzi ili nikuwezeshe mdogo wangu .tatizo lako ni kujifukiza moshi kichwani
Mjinga wewe uniwezeshe kitu gani? ndiyo maana mimi sitaki kusifia mzanzibar yoyote ili nipate uteuzi nasimama na bara/Tanganyika
 
By the way huna sababu ya kukata tamaa ikiwa Watoto wako wananufaika na maji,Elimu,Afya, miundombinu, biashara na amani.

Usipoonesha hayo utamsemea nani? Hao vichaa wanaotukana hovyo?

Kazi zinaongea 👇👇

View: https://youtu.be/prdkbKeHXvw?feature=shared
View: https://youtu.be/LZd_Ze0or5A?feature=shared
 
Njaa tu inakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…