Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu chizi hata kura hajawahi kupigaMuda wake ukiisha au akiangushwa 2025 kwa kura nyingi (kama tunavyotarajia) unabadili ID au siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu chizi hata kura hajawahi kupigaMuda wake ukiisha au akiangushwa 2025 kwa kura nyingi (kama tunavyotarajia) unabadili ID au siyo?
Hivi dogo una akili Timamu?Huyu chizi hata kura hajawahi kupiga
Sina njaa kama uliyonayo wewe.Wewe mbele ya maslahi hata shetani lazima utamtetea huna lolote
Onyesha kitambulisho cha kura shetani wewe tukione hapaHivi dogo una akili Timamu?
Yes mimi ninanjaa ya mafanikio na kuipenda bara haswa, siwezi kuruhusu wezi kutoka Zanzibar waibe mali zetu ajili ya vizazi vyetu vya baadae nikakaa kimya na kushangilia kijinga kama wewe kisa nipate uteuzi wa kishetani.Sina njaa kama uliyonayo wewe.
Kitambulisho changu cha kura cha nini ewe tapeli.Onyesha kitambulisho cha kura shetani wewe tukione hapa
Ungekuwa na kiu ya kupata matibabu lingekuwa jambo jema sana.Yes mimi ninanjaa ya mafanikio na kuipenda bara haswa, siwezi kuruhusu wezi kutoka Zanzibar waibe mali zetu ajili ya vizazi vyetu vya baadae nikakaa kimya na kushangilia kijinga kama wewe kisa nipate uteuzi wa kishetani.
Tetetete Katibu likizo imeisha kesho anataka modem akeKitambulisho changu cha kura cha nini ewe tapeli.
Lini unateuliwa wewe shetani?Ungekuwa na kiu ya kupata matibabu lingekuwa jambo jema sana.
Kwani ulisikia wapi kuwa nimetuma maombi ya kuomba uteuzi? Naona unatamani sana nipate uteuzi ili nikuwezeshe mdogo wangu .tatizo lako ni kujifukiza moshi kichwaniLini unateuliwa wewe shetani?
Mjinga wewe uniwezeshe kitu gani? ndiyo maana mimi sitaki kusifia mzanzibar yoyote ili nipate uteuzi nasimama na bara/TanganyikaKwani ulisikia wapi kuwa nimetuma maombi ya kuomba uteuzi? Naona unatamani sana nipate uteuzi ili nikuwezeshe mdogo wangu .tatizo lako ni kujifukiza moshi kichwani
Nataka upate matibabu dogo.Mjinga wewe uniwezeshe kitu gani? ndiyo maana mimi sitaki kusifia mzanzibar yoyote ili nipate uteuzi nasimama na bara/Tanganyika
By the way huna sababu ya kukata tamaa ikiwa Watoto wako wananufaika na maji,Elimu,Afya, miundombinu, biashara na amani.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia.
Nilishakataa kabisa kufumba kinywa changu na mdomo wangu napoona watu wanafanya upotoshaji na uchonganishi wa kumchonganisha Rais Samia na serikali yake pamoja na wananchi ili waichukie serikali yake. Nitaeleza na kuyaimba mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia na serikali yake ya CCM.
Nitawaelezea wananchi nini Mama amefanya katika Elimu,afya , Umeme, barabarani,ajira,kilimo, uwekezaji, utalii, democrasia,uhuru wa Vyombo vya habari,amani na mengine mengi. Naendelea kuwakumbusheni ni Rais Samia mama yetu mpendwa aliyeleta Elimu bure mpaka kidato cha sita,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi, kuwapandisha mishahara watumishi wa umma hasa wale wa kima cha chini kwa 23%,kupeleka umeme maeneo mbalimbali vijijini mpaka kwenye vitongoji.
Kutoa Ruzuku kwenye mbolea,kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na siasa za majukwaa,kujenga zahanati,vituo vya afya, hospitalini za wilaya,mikoa ,rufaa na kanda na kuweka vifaa tiba vya kisasa na bora pamoja na wataalamu wa kutosha. Ni Rais Samia ndiye aliyewafanya wakimbizi wa kisiasa kurejea Nchini.
ni Rais Samia ndiye aliwalipa CHADEMA ruzuku ya Billion 2.7 kwa mkupuo,ni Rais Samia ndiye ameleta nuru na matumaini kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kupata mikopo ya vyuo vikuu pamoja na ajira kwa wale wanaomaliza vyuo vikuu.hata kama hawaajiriwi wote lakini matumaini yanaonekana machoni pa vijana.
Ni Rais Samia aliyekamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ambapo alilikuta likiwa 34% tu.ni Rais Samia aliyemaliza mgao wa umeme kihodari.ni Rais Samia aliyeleta maajabu na miujiza ya kuona Treni ya umeme ukitembea katika ardhi ya Tanzania,ni Rais Samia aliyefanya sasa tunapata watalii kama mafuriko takribani Millioni 1.8. ni Rais Samia aliyeifungua nchi hii na kupelekea wawekezaji kumiminika Nchini kama mchanga wa baharini.
Ni Rais Samia aliyeimarisha diplomasia mpaka Kamala Harris makamu wa Rais wa Marekani kuichagua Tanzania kati ya nchi chache alizozitembelea Afrika,ni Rais Samia aliyewainua wakulima wa Nchi hii na kuja na kauli mbiu ya kilimo ni biashara na hivyo kukipatia thamani kilimo.
Nani amefanya haya kama siyo Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Hapo ni kwa uchache maana sijazungumzia bado habari za kuboresha mazingira ya biashara hapa Nchini ,kujenga shule za msingi na sekondari,kumaliza changamoto ya madawati shuleni na mengine mengi sana.
Nitaendelea Kumsemea Rais Samia na serikali yake.hata nitukanwe matusi ya kila aina ,hata mtukane wazazi wangu lakini mimi nitaendelea kuusema ukweli tu. Nitafanya kazi hiyo kwa hiyari na kwa gharama zangu kama ambavyo nimekuwa nikifanya siku zote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako dogoTetetete Katibu likizo imeisha kesho anataka modem ake
Njaa tu inakusumbuaNdugu zangu Watanzania,

Sina njaa maana mimi ni Mkulima.Njaa tu inakusumbua
Wewe ni chawa unayeishi kwa kutupiwa makombo kama mbwakokoSina njaa maana mimi ni Mkulima.
Una uhakika? Na wewe unaishi Kwa kutupiwa majimbo na nani?Wewe ni chawa unayeishi kwa kutupiwa makombo kama mbwakoko
Wewe umeshiba?Njaa tu inakusumbua