Ungeweka picha yake ya usiku huu akiongea na simu!
Mmmh! miye muzuriii...
Heri ya mwaka mpya...
HahahaMpwa nakuomba sana sana kuwa mpole, huyo binti kama jina lake linaanza na W ndio tabia yake japo ana jina lingine pia. Achana nae please watakuletea matatizo tu badala ya kulipa kisasi