Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Inaitwaje chiefKuna shower gel yao moja ni matata Sana bafuni kunanukia tu full time
Inaitwa Soothing careInaitwaje chief
Wadau wa jamiiforum habari zenu, nimekuja kwenu nikiwa na maswali ila pia nitapenda kupokea ushauri kuhusu brand tajwa hapo juu.
Nimekua nikiona tu hizi bidhaa za hii kampuni ya njiwa ( dove) mitandaon na sehemu mbalimbali .
Nataka kujua je hii brand ni ya nchi gani by origin.
Je bidhaa zao zimejumuisha bidhaa zote muhimu kama sabuni, dawa za meno ,deodorant, mafuta ya nywele,body spray na vingine?
Ufanisi wake ( matokeo yake) kwa kwa mtumiaji ni mazuri?
Ni wapi kwa mikoa yetu mikubwa hasa dar naweza pata full package ya bidhaa hizi ,bei zake zipoje?
Siko Dar kwa sasa ila nimeamua kutaja apo nikiwa naiman nitazipat je unaweza nipa mfano wa bei za bidhaa ulizowah nunua nijue pa kuanziaNdio wana product zote ni nzuri sana, kama upo dar nenda S.H amon huwezi kosa au maduka ya cosmetics kariakoo kule mtaa wa msimbazi au cosmetics shops za mlimani city na city mall
Siko dar kwa sasa ila nimeamua kutaja apo nikiwa naiman nitazipat je unaweza nipa mfano wa bei za bidhaa ulizowah nunua nijue pa kuanzia
Asante sana wacha nizisake nami nione perfomance yakeSabuni inarange 5000-7000
Shower gel inaanzia 12,000 na kuendelea depending on eneo unalonunua
Body lotion 25,000 inaweza kupungua au kuongezeka depending na aina, ujazo na location
Asante sana wacha nizisake nami nione perfomance yake
Ok nipo nahangaika mtu wa kumtuma nahangaika niko mkoaSawa ni nzuri sana hope utaleta mrejesho
Ok nipo nahangaika mtu wa kumtuma nahangaika niko mkoa
Niko lindi mzeeUpo mkoa gani
Hongera mkuuMi napendaga sabuni yake maana Kwa nyeto ni burudani Sana .....kitu inatereza kama Kwa mpalange kumepakwa futa
Niko lindi mzee
Sawa kiongozi nimekupataJaribu tu usikate tamaa waweza kupata
Sawa kiongozi nimekupata