PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ngoja tuone
 
Huenda wameshaona wabongo wote ni ndezi tu.
 
Makala kaishiwa hoja na CCM yake , huwezi simama mbele ya wananchi badala ya kueleza sera zako wewe unaleta uchochezi.

Mamlaka zilipaswa zimuhoji kwa huu uchochezi,alafu propaganda hizi ni za kitoto kwa chama kama CCM.

Zinazidi kuwapunguzia ushawishi kwenye jamii, ukisoma taarifa za mikutano yao muda mwingi wanaongelea Chadema.

Hapa ndiyo utaona wamekosa maono siyo Mwenezi wala Makamu mwenyekiti Bara wote Bogus.
 
Kuna mtu hapa kaziita Gutter Politics
 
Hatari sana, na kesho ataleta uongozi mwingine na bado tutamuangalia kwasababu yuko upande usioguswa.

Kitakachofuata jamaa atafanyiwa cover up haraka na kuonekana ni issue ya kawaida sana. Binafsi Kuna watu wajinga wajinga huwa naishia kuwadharau sana.
 
huenda ni kweli ila aje na ushahidi na wahusika wazuiliwe
 
Mbona Chadema wenyewe hawakanushi, bali wanakanusha nyumbu tu? Leo huko ilikuwa sehemu sahihi kabisa ya kukanusha hilo. Mbona wamekaa kimya? Na ikijabainika ni kweli mtasemaje?
 
CCM hawana kitu kipya tena ujue hivyo kazi iliyobaki ni kutunga uongo ili kuendelea kuwaibia watanzania,wamechoka zaidi ya kuchoka,hoja hawana tena,kazi yetu watanzania ni kuwaondoa CCM na mama yao kwa nguvu zetu zote.
 
Kabla ya kuanza kumlaumu makala jiulize Kwanza kwani chadema hawawezi kuyafanya hayo?kwangu Mimi chama hiki nakijua kama chama hatari Kwa usalama wa nchi hii kwani wamewahi kufanya matukio mengi na ya hatari tukio la Kwanza bomu la Arusha hili ni tukio limejulikana lilikua tukio la kupangwa na chadema wenyewe Kwa malengo yao ya kupata political tension tukio la pili kutekekwa na kupigwa Kwa Joseph Yona tukio la tatu kulishwa sumu zitto na kuuwawa Kwa chacha wangwe haya ni baadhi tu ya matukio kati ya mengi yanayoonyesha uhatari wa chama hiki
 
Kazi ya Polisi ni nini?
 
Ni taarifa nyeti wala hakupaswa kuzitamka wazi wazi
huenda ni kweli ila aje na ushahidi na wahusika wazuiliwe

Hopeless
 
Mbona Chadema wenyewe hawakanushi, bali wanakanusha nyumbu tu? Leo huko ilikuwa sehemu sahihi kabisa ya kukanusha hilo. Mbona wamekaa kimya? Na ikijabainika ni kweli mtasemaje?
Hawana muda wa kupoteza, wao sio vyombo vya dola.
 
Hehehehe....Jamaa amekuudhi sana
 
Kwahiyo yote waliyafanya wakati serikali imeyakalia kimya. Basi chadema qananguvu mpaka walimlitilia sumu magufuli.
 
Hu
yu mtu kiukweli ameropoka vibaya, atafakari. Hivi akitakiwa kutoa ushahidi atakuwa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…