PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuna imani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ila kumuita yule ahojiwe ni shughuli pevu kwa sababu ni wa chama kikubwa chenye nguvu. Ingekuwa ni wa chama cha upinzani angehojiwa fasta. Zee la m pox linafanya propaganda mpaka linapitiliza mipaka
 
Waombewe wapate Neema ya Ukombozi waachane na mambo maovu
Mimi kwa Ukristo wangu nashindwa kuwaelewa hao wanaoshauri tuwaombee au tumuombee kiongozi fulani eti maombi yabadili matendo yake...

Matokeo yanabadilishwaje na maombi? Kwanini asipishe hiyo nafasi ikichujuliwa na mtu sahihi mwenye kujua hofu ya Mungu na kusimamia haki ya wananchi pasipo kuoneana aibu au kuendesha mambo kwa huruma huruma?
 
Waombewe wapate Neema ya Ukombozi waachane na mambo maovu
Mimi kwa Ukristo wangu nashindwa kuwaelewa hao wanaoshauri tuwaombee au tumuombee kiongozi fulani eti maombi yabadili matendo yake...

Matokeo yanabadilishwaje na maombi? Kwanini asipishe hiyo nafasi ikichujuliwa na mtu sahihi mwenye kujua hofu ya Mungu na kusimamia haki ya wananchi pasipo kuoneana aibu au kuendesha mambo kwa huruma huruma
 
Kupisha hataki basi aombewe Neema ya Mungu
Imshukie
 
Kama ni Kweli Makalla mpaka mda huu Alitakiwa tayari awe ni mwanachama wa kawaida ashavuliwa Uenezi huo
 
Lengo la Chama chakavu ni kuleta taharuki katika Nchi hiyo M.Pox teyari iko Nchini na wanataka kusema CHADEMA ndio wameiingiza hivyo Virusi.
 
Lengo la Chama chakavu ni kuleta taharuki katika Nchi hiyo M.Pox teyari iko Nchini na wanataka kusema CHADEMA ndio wameiingiza hivyo Virusi.
Wameshamula hela za WHO, wanatafuta namna nyingine ya kumpiga mzungu
 
Umeandika kwa uchun
Umeandika kwa uchungu
 
We unaujua ukweli? We unajulikana sk zote uko upande wa hao nyumbu. Makalla si mjinga km hao nyumbu wenzio, anajua anachokisema na wanatahadharishwa hao vibaraka. Ole wao hilo ni onyo, Lissu ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii adhibitiwe mapema
 
Lione hili nyumbu lingine? Kwl haya ni mazuzu, hakuna kima wa kuzuia uchaguzi.
 
Tamko la chama tawala ni tamko la serikali.

Cha msingi ni kutafsiri kwa lugha zote za kimataifa na kuiweka kwenye mitandao duniani.
 
We unaujua ukweli? We unajulikana sk zote uko upande wa hao nyumbu. Makalla si mjinga km hao nyumbu wenzio, anajua anachokisema na wanatahadharishwa hao vibaraka. Ole wao hilo ni onyo, Lissu ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii adhibitiwe mapema
😑
 
Hivi mtu akikupa taarifa kuwa kuna watu wanataka kuja kukushambulia , njia bora ni wewe kupokea taarifa na kuchukua tahadhari au wewe kumdhuru aliyekuletea taarifa?

Tafakari.
 
Hawa ndio wataleta machafuko siku moja hawana kabisa uchungu na nchi wanaona wako juu ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…