Nitashangaa sana Samia Suluhu Hassan akishinda tena urais 2025

Wanaotuangusha ni wapinzani.

Badala ya kucooperate wao wanasambaratika!

Enzi za biashara ya utumwa, tulikuwa tunajiuliza, iliwezekanaje wanyeji wasishirikiane kupinga hiyo biashara?

Kumbe kulikuwa na 'Nokora', 'viherehere' ama 'snich' ambao vizazi vyao wameendelea kuwepo mpaka leo, kwa mfumo wa maisha ya leo.

Watu wanaonekana kama wapinzani, kumbe ni nokora wapumbaf waliojazwa upinzani kujaza migogoro kwa maslah ya Ccm.

Tumeyaona haya Chadema, Tlp, Cuf na Nccr.
 
Wapinzani wapi?

Kina Mbowe, Ntobi, Bon, na Mdude?
 
Huu mwaka 2025 before mwezi wa Kumi Kuna mtu anaenda Kwa Sir God...tena mtu mkubwa Sana.
Afu naona kule Kwa wenzetu kunaenda kupasuka makundi makundi...afu wao watashinda kustaimiliana watavurugika Sana, Uku Kwa chukua chako mapema wale wazee wa zamani wa mifumo wataibuka na kuanza kudai haki ndani ya Chama na kuwashinikiza Jr's Kuachika hatamu lkn watashindwa apo ndo mtifuano pia utaanzia.
Walambaji asali, asali itawakolea afu watakuja kujisahau na ulambaji wao asali watakuja poteza Sana nafasi zao..watakuja ibuka sura mpya Sana kwenye mfumo wa kisiasa hasa vijana.
 
Wapinzani wapi?

Kina Mbowe, Ntobi, Bon, na Mdude?
Laiti upinzani ungekuwa imara angalau kama ule wa zama za Mrema TLP au hata CHADEMA ya Dr. Slaa, tungeshuhudia uchaguzi wenye ushindani mkubwa sana
 
Rais ni taasisi bwashee
Ni taasisi sawa, ila taasisi hii inaposhindwa kujiongoza vyema, ni janga kwa taifa.Kiongozi wa taasisi hii lazima awe competent, mwenye akili na utambuzi wa kudadavua masuala ya kiuchumi, kijamii, kiuongozi nk.
 
Kwa upinzani upi?

Huu unaovuana nguo asubuhi?

Huu wa mandojo na domokaya?

Puliiiizzzzz
 
Hii comment itunzwe Ina kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…