Nitashangaa sana Samia Suluhu Hassan akishinda tena urais 2025

Mada hizi ni kuwatoa mchezoni Watanzania. Kuwaaminisha anayeshinda uchaguzi ni yule mwenye sera nzuri na anayekubalika na wananchi kitu ambacho sio kweli.

CCM hata wakilisimamisha fenesi litapita tu. Polisi wa kwao, tume ya kwao, wakurugenzi wa kwao. Unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…