Aida Joseph Khenani ni mbunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayewakilisha jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida ndiye mbunge pekee kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Madai
Kumekuwapo na grafiki inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionekana kufanana na ya Jambo Tv ikiwa na ujumbe kuwa kuwa alishinda ubunge 2020 licha ya chama kusususia uchaguzi na ameeleza kuwa kaulimbiu ya No reforms No eletion haimuhusu na ataitetea tena nafasi yake mwaka huu. Tazama hapa na hapa
Uhalisia wa madai hayo
Jamiicheck imefuatilia madai hayo na kubaini kuwa yanapotosha. JamiiCheck imefuatilia mkutano wa hadhara uliofanywa na CHADEMA mkoani Rukwa katika jimbo la Nkasi Kaskazini ambapo mbunge wa eneo hilo pia Aida Khenani alizungumza. Tazama mkutano huo hapa
Kuhusu uchaguzi wa 2020
Aida Khenani alizungumza mambo mbalimbali ikiwemo hali ya uchaguzi wa mwaka 2020 akieleza kuwa uchaguzi wa mwaka huo haukuwa wa haki na huru na kama ungekuwa huru wangeshinda kwa shindo.
Kuhusu No reforms No election na uchaguzi mkuu ujao
Katika mazungumzo yake aliyoyafanya katika mkutano huo hakutamka kauli ya No reforms No election na badala yake alieleza kuwa wanamsubiri mwenyekiti atoe tamko kuhusu uchaguzi mkuu ujao. Na amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi ukiwa huru na wa haki lazima watashinda
Aidha tumefuatilia grafiki inayoonekana kufanana na ya Jambo Tv na kubaini kuwa haijachapishwa na Jambo Tv hivyo ni ya kughushi. Grafiki hiyo inaonekana kuwa na msongamano wa maneno mengi, jina la aliyezungumza kukaa chini kabisa ni tofauti na Grafiki halisi za Jambo Tv.
Akatoboa au akapewa na Magufuli?Huyu Dada ni mwamba sana, nakumbuka kipindi cha Jiwe chadema walisusa yeye akakaza na akatoboa
Safi sana๐ NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025
NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI
Hayuko peke yake .Wengi wako tayari kugombeaHiyo ni moja ya strategy ya CCM, hatuna Sheria ya mgombea binafsi, yeye anagombeaje wakati chama chake hakiko tayari kushiriki uchaguzi?.
Fomu anapewa na kusainiwa na Nani?
Mnafiki ni mbaya kuliko mchawi,acha uongo nduguyangu hii dunia haipo gizani kama unavyodhani,acha kumlisha maneno mama wa watu.๐ ๐ฏ๐๐ป๐ด๐ฒ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐ฑ๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ต๐ฒ๐ป๐ฎ๐ป: โ๐ง๐๐๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐น๐ถ๐บ๐ฏ๐ถ๐ ๐๐ฎ ๐ก๐ผ ๐ฅ๐ฒ๐ณ๐ผ๐ฟ๐บ, ๐ก๐ผ ๐๐น๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐๐ฎ๐ถ๐ป๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ธ๐ผโ
Nkasi Kaskazini, Tanzania โ Mbunge wa Chadema wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan, ameweka wazi msimamo wake kuwa atashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akipinga waziwazi kaulimbiu ya chama chake ya "No Reform, No Election," ambayo inasisitizwa na Mwenyekiti wa chama, Tundu Lissu.
Akihutubia wananchi wa jimbo lake, Khenan alisema kaulimbiu hiyo haina mashiko kwa sababu imeletwa kwa shinikizo la mwenyekiti, lakini haiafungi wanachama wote wa Chadema. Alieleza kuwa wengi ndani ya chama, wakiwemo baadhi ya viongozi waandamizi, hawaungi mkono wazo la kususia uchaguzi kwa sababu linaenda kinyume na sheria na linawanyima wananchi haki yao ya msingi ya kushiriki uchaguzi.
"4R za Rais Samia ndizo zilizotufanya leo tuwe na uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara bila bugudha na wasiwasi. Serikali imetengeneza mazingira mazuri ya kidemokrasia, hivyo hakuna sababu ya kususia uchaguzi. Tunasema tunataka demokrasia, halafu tunakimbia uchaguzi, hiyo haieleweki," alisema Khenan huku akishangiliwa na wafuasi wake.
Mbunge huyo alisisitiza kuwa kauli zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa Chadema kuhusu kuzuia uchaguzi hadi yapatikane mabadiliko ya kweli si tu kwamba haziwezi kufanikiwa, bali pia ni kinyume cha sheria na zinawanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
"Hatutatumia siasa za vitisho na kususia kama silaha ya mapambano ya kisiasa. Haki ya kushiriki uchaguzi ni yetu sote, na hatuwezi kuizuia kwa sababu ya maamuzi ya mtu mmoja au kundi dogo la viongozi," aliongeza Khenan.
Msimamo wake unakuja wakati ambapo ndani ya Chadema kumekuwa na mgawanyiko kuhusu mkakati wa uchaguzi, huku wengi wakionyesha dalili za kutotii agizo la "No Reform, No Election." Wakati Mwenyekiti Lissu anasisitiza kususia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, baadhi ya wanachama wanaona kuwa hatua hiyo ni ya kujinyima nafasi ya kushindana na kuwakilisha wananchi.
Kwa hali ilivyo, kauli za Khenan zinaweza kuchochea mjadala mkubwa ndani ya Chadema kuhusu ushiriki wake kwenye uchaguzi ujao, huku ikiendelea kuonekana wazi kuwa si wote ndani ya chama wanakubaliana na msimamo wa mwenyekiti wao.
Jambo TV Online itaendelea kufuatilia kwa kina mijadala na maamuzi ya Chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
ACHA UONGO WEWE FALAA .๐ ๐ฏ๐๐ป๐ด๐ฒ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐ฑ๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ต๐ฒ๐ป๐ฎ๐ป: โ๐ง๐๐๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐น๐ถ๐บ๐ฏ๐ถ๐ ๐๐ฎ ๐ก๐ผ ๐ฅ๐ฒ๐ณ๐ผ๐ฟ๐บ, ๐ก๐ผ ๐๐น๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐๐ฎ๐ถ๐ป๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ธ๐ผโ

Kuna watu wa ukweli๏ผhawatakagi ujinga๏ผwanafanya siasa za ukweli na sio siasa za hadaa๏ผNRNE ni utopian politics๏ผใ๐ ๐ฏ๐๐ป๐ด๐ฒ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐ฑ๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ต๐ฒ๐ป๐ฎ๐ป: โ๐ง๐๐๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐น๐ถ๐บ๐ฏ๐ถ๐ ๐๐ฎ ๐ก๐ผ ๐ฅ๐ฒ๐ณ๐ผ๐ฟ๐บ, ๐ก๐ผ ๐๐น๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐๐ฎ๐ถ๐ป๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ธ๐ผโ
Ukwel hapo ni upi?Kuna watu wa ukweli๏ผhawatakagi ujinga๏ผwanafanya siasa za ukweli na sio siasa za hadaa๏ผNRNE ni utopianpolitics๏ผใ
P
Huyu pia si alizuiliwa na chama kuingia bungeni akaingia kwa lazima?Hii inaonyesha upinzani ulikua ni geresha tu kwa miaka mingi ,mpaka alipo shika usukani lissu๐ค
Ndio mwisho wake bungeni atunze kibunda chakeAmenogewa,CCM hawampi tena hilo jambo huyu