Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

Status
Not open for further replies.
Unataka washiriki ili waendelee kuzika ndugu zetu na kuwaacha wengine vilema? Wala damu za watu kama vampires hamshibi damu za waTanzania?
 
Huyu ni Ccm, Hakuna mbunge wa Chadema Msimu huu
 
Kama hikuhusu,Fomu uchukulia ofisi ipi😂
 

Wewe ni mwongo punguani. Ni lini Lisu alisema CHADEMA itasusia uchaguzi? Huoni aibu kuwa mwongo hata kwa mambo yaliyo wazi kwa watu wote.

Msimamo wa CHADEMA, ni kuwa hakuna kususia uchaguzi. Wananchi washinikize mabadiliko ya msingi ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Na kama hakutakuwa na mabadiliko, lazima wananchi wazuie uchaguzi wa kishetani kufanyika.
 
Wazee wa Ebola na M-pox mwaka huu mtetema Ndoano
 
Kama hayo kayasema mbunge huyo, hayashangazi kwa sababu hiyo ni kazi ya CCM iliyomo ndani ya CHADEMA.
Kazi ngumu iliyopo ni kupambana na CCM zote mbili kwa mpigo.
Lililo muhimu ni kuwafikishia wananchi elimu. Wananchi pekee ndio watakao fanya uamzi wa mwisho.
 
Unataka washiriki ili waendelee kuzika ndugu zetu na kuwaacha wengine vilema? Wala damu za watu kama vampires hamshibi damu za waTanzania?
HAYO YAPO CHADEMA CCM NI AMANI KWA KWENDA MBELE MPAKA MNATISHIANA SUMU?
 

Nimeona jina Aidan khenan nikajua ni mhindi kumbe ni mbongo
 
Umemlisha maneno ili umgombanishe.Kibaka.
 
Hopeless.
Siasa za njaa kama zinazokusumbua wewe ndizo unaziita za ukweli!
NHi lini utakuwa na hata chembe ndogo ya soni akilini mwako kuliko kuendelea kujidhalilisha kiasi hiki, mtu mzima!
 
ACHA UONGO WEWE FALAA .

NMEUTIZAMA MKUTANO WOTE WA JANA , HAMNA MAHALI AIDAN KASEMA ATASHIRIKI UCHAGUZI.
Anaamini bado dunia hii ni ile ya Nyerere kuwa na TV peke yake, hivyo wengine hatuwezi kujua kilichoongelewa bali kusubiri taarifa toka kwa wapotoshaji.
 
Kama hikuhusu,Fomu uchukulia ofisi ipi😂
Hilo la fomu siyo gumu. CCM itawatengenezea njia, kama ilivyo tengeneza wale COVID-19.
La muhimu sasa hivi ni kuwatambua 'virus' hawa waliobaki ndani ya chama wakisubiri kukiangamiza kwa niaba ya CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…