Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

Status
Not open for further replies.
Hayuko peke yake .Wengi wako tayari kugombea

Alichofanya kwa ujasiri ni ku.m bip Lisu ajue wazi kabisa kuwa kuna kundi ndani ya Chadema halitaki huo msimamo
Achana na huyo jamaa huyo mama hajaongea hayo maneno ni uongo.
 
hilo kombora la hoja ya Aida dhidi ya utapeli wa no reform no elections linafanana na lile la Al-qas, dah!🐒
 
Ojuolegbha kumbe na wewe una funza kichwani
 
Lissu hiki chama mbona kinamshinda mapema sana?
Hajashindwa, mimi nilimpenda sana katika wanasiasa niliowahi kukutana nao. My concern ni namna alivyofanya kampeni zake. A very hopeless guy kumbe! Short of that he is very smart. Hawezi kushindwa kukiendesha chama, anaweza.
 
Wananchi wanaweza kuzuia kwa namna gani?.Sema wanachama na wafuasi wa chadema tena nawenyewe hawawezi kua wote.kwasababu hizi agenda za vyama kwa ajili ya madaraka haziwezi kuleta wananchi wote pamoja kwenye swala la mabadiliko kwasababu limekaa kimaslahi zaidi tena kwenye madaraka.Agenda ilipaswa kuyafikia makundi yote yapate kiu ya mabadiliko hapo ndipo utaona ungwaji mkono wawananchi.Lakin sasa hili bado ni jambo la chadema.
 
kumbe Ojuolegbha ndiye JUMA JUMA

 
Sikutegemea comment tofauti na hii toka kwa Kiongozi wangu mayala. Maana hata yeye ni mlamba viatu vya watawala. Na alishijitamnulisha humu kuwa baba na mama yake woe walikuwa ni TISS.
 
Sidhani kayasema. Ina maana atajiteuwa kinyume na kupitia chama chake akagombee ubunge kwa chama gani. Akimtuhumu mwenyekiti hadharani na chama kikamuengua atakuwa mgombea labda wa CCM.
 
hilo kombora la hoja ya Aida dhidi ya utapeli wa no reform no elections linafanana na lile la Al-qas, dah!🐒
Nimependa ujasiri wake anawakilisha kundi la ambao hawataki kuburuzwa na dikteta Lisu na ubabe wake wa No reform no election kisa hana hela za kampeni za uraisi anataka kukomalia ile slogan ya tukose wote sababu yeye hajajipanga
 
Nimelisema hili mara nyingi ule ni msimamo wa dikteta lissu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…