GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata yeye ataumia sana coz hautakua urais rahisi yani, inaweza kuwa kama uongozi wa Idd Amin miaka ya 70 yani ni mkono wa chuma, usalama wa taifa utakuwa wa abduli na shemeji yake kifua kipana na kofia yake ya kikomunist! Hamna discussion ni kubend chini au damu kumwagika kila kona, kumbuka na mtoa roho mkolomije atakua PM
 
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030

Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko

SIONI NURU KABISA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Atatangazwa kushinda na ataapishwa lakini miaka mitano hatamaliza Karma itachukua mkondo wake
 
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030

Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko

SIONI NURU KABISA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
We nawe chizi. We unaona anashindana? Yani unaamini kuna uchaguzi kabisaa?
 
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030

Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko

SIONI NURU KABISA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hilo liko uchi Mkuu na tutarajie kuburuzwa sana maana hatokuwa na cha kupoteza.
Kingine, ataongoza kwa kinyongo maana uhakika kwamba hakubaliki na wengi hata yeye mwenyewe anajua fika.
 
Anza kuumia Sasa, kwakuwa maumivu yatakuwa ya muda mrefu sana basi jipunguzie kidogo kwa kushare na ndugu zako wa karibu. Mama yupo sana, na of course, kama alivyowahi kunena msanii wetu maarufu, prof Jay, maadui zaidi wanakufanya ufanikiwe zaidi; basi endeleeni kumchukia Samia kwa chuki Kali zaidi Ili afanikiwe zaidi. Ahsanteni.
 
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030

Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko

SIONI NURU KABISA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Huyo ni mgombea wa wahuni,ili waendelee kuwabagaza watanganyika.
 
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030

Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko

SIONI NURU KABISA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mbio za mtu mmoja zina kushinda na kushindwa?
 
Back
Top Bottom