Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Hizi hoja za uchumi wa kati nikizisikia nabaki kukaa kimya tuThough kila Rais alikuwa na mapungufu yake, lakini bora kipindi cha Magufuli
Miundombinu ilikuwa inajengwa kwa kasi, rushwa na ufisadi vilipungua pia. Kuanzia mwaka 2015 hadi 2021 Tanzania ilipiga hatua kubwa kimaendeleo ila baada ya hapo ikastuck hadi leo hii hatupo tena uchumi wa kati
Yani inawezekanaje mtu alieanzisha kitu akaacha 30% akawa juu ya aliemalizia 70% yote bwawa la umeme, reli, barabara na masoko
Pia ujue kitu kimoja Ile miradi ipo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi ambayo utekelezaji wake ni constant no matter who leads the country
Yote kwa yote hapo kwenye uchumi wa kati mnatupiga wazee, na yapo mengi maana tuliambiwa pia pesa za miradi hazikukopwa tulitoa cash kwenye hazina kitu ambacho ni uwongo