Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

Wewe ni mccm, hakuna mwanachadema anayeweza kufurahia kupoteza wanachama kwani mtaji wa chama ni wingi wa wanachama. Baada ya uchaguzi watu wanatakiwa kuwa kitu kimoja siyo huo upuuzi unaosema wewe.

Mbona haluelewi nguvu za sili zinavyofanya kazi ?
Mbowe hana mvuto kwenye jamii.

Mbowe akishinda chama kitapoteza nguvu na uchaguzi ujao chama kikuu cha upinzani kitakua ni ACT. Mbona Liko wazi . Hakuna mtu atakayeganya sisa za kisanii kwa manufaa ya Mbowe na watu wachache wanaonufaika na Ruzuku tu.
CCM inajengwa kwa sababu ya kubadilsha badilisha uongozi . Lakini pia kwa sababu ya kuwa na dola . Sasa CHADEMA hakina dola wala pesa halafu Mbowe anataka kulifanya kama kinaumuhimu sana kuliko vyama vingine huku akipuuza demokrasia na haki wa wengine kuongoza chama eti yeye tu ndiye anayeweza . Ujanja wote watu wameshamshtukia . Jiulize tu hicho chama kitamshimamosha nani kwenye uchaguzi ujao kama Mbowe atashinda . Kwa maana kuwa Lisu kwa akili yake kubwa hawezi kukubali kugombea urais wakati wamekataa kwenye Uenyekiti kwa kushirikiana na CCM na kwa kutumia pesa nyingi na kejeli. Lakini pia CCM itakubali vipi kushindwa wakati Mbowe ameonyesha wazi kuwa ukiwa madarakani ni lazima utumie mbinu zote kushinda kuliko kuachia uongozi kwa wengine . Mbowe ameonyesha wazi kuwa kugombea nafasi ya uongozi ni utovu wa nidhamu na kukosa shukrani ,sasa utawaambia nini CCM ? Nani atakubali tena kupoteza jimbo lake kwa wapinzani? Kwa nini mtu asitoa rushwa akawahonga baadhi ya wahuni kwenye vyombo vya dola na tume ili atangazwe yeye ? Yaani kabisa mbunge wa CCM au diwani akubali kushindwa wakati anaona kabisa Mbowe akishinda kwa mizengwe .?
Karma hua inalipa hapa hapa duniani. Mbowe akishinda kwa Hadaa karma itamkipa hapa hapa akiwa mwenyekiti atashuhudia chama kikifa na kupoteza umaarufu wake ,halafu kitafufuka baada ya yeye kuondoka maana ni chama kilichojengwa na watu kama CCM inavyopanda na kushuka lakini haipotezi wanachama wake bali inapoteza ushawishi mkubwa ukilinganisha na mwanzo kutokana na ufisadi na Hadaa za uchaguzi.

Tumwambie Mbowe ukweli japo ni ngumu kwa mfugaji kumrudisha ng'ombe anayekamuliwa kwa mwenye ng'ombe .
 
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,

Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,

Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?

Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.

Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?

ROHO INAUMIA SANA.
Acheni ujinga wenu. Hama chama nenda kabisa. Kwani mmefungwa kamba?. Huyu Mbowe ndio amenza kuwa mbaya sasa? Chama hawawezi kabidhiwa vijana wahuni. Lissu asubirie atapewa chama baadae huko.
 
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,

Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,

Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?

Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.

Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?

ROHO INAUMIA SANA.
Ninyi ni CCM na mnapaswa kuondoka CDM mara moja, mnafanya nini kwenye CHAMA chetu cha mashujaa?
 
Yaani jiunge nae hata leo, Mwamba anashinda tena kwa kura za haki na wazi wazi.

Ubaguzi kamwe hauwezi kushinda.
 
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,

Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,

Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?

Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.

Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?

ROHO INAUMIA SANA.
Huo ndiyo ukweli
 
Kibamba wao wamesema Wasipomchagua Lissu basi biashara ya siasa za chadema itaishia hapo hapo.

Hawakopeshi.
 
Na kwenye uchaguzi CCM hawachelewi kumgeuka Mbowe kwamba ulipewa asali ndo maana tulikupambania ubaki kua mwenyekiti kwenye kampeni uwa kuna mengi Mbowe awe makini
 
Back
Top Bottom