- Thread starter
- #41
Wewe ni CHADEMAHata ikifa hamna shida cha umuhimu ni mwamba atuvushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni CHADEMAHata ikifa hamna shida cha umuhimu ni mwamba atuvushe
Wewe ni mccm, hakuna mwanachadema anayeweza kufurahia kupoteza wanachama kwani mtaji wa chama ni wingi wa wanachama. Baada ya uchaguzi watu wanatakiwa kuwa kitu kimoja siyo huo upuuzi unaosema wewe.
Acheni ujinga wenu. Hama chama nenda kabisa. Kwani mmefungwa kamba?. Huyu Mbowe ndio amenza kuwa mbaya sasa? Chama hawawezi kabidhiwa vijana wahuni. Lissu asubirie atapewa chama baadae huko.Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Sitakaa nifanye huo ujinga ni afadhali nisiwe na chamaSasa kuongozwa na Mbowe kunatofauti gani na kuongozwa na Wassira?
Hawa wote ni CCM
Ninyi ni CCM na mnapaswa kuondoka CDM mara moja, mnafanya nini kwenye CHAMA chetu cha mashujaa?Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Mjiandae kuwa CUFYaani jiunge nae hata leo, Mwamba anashinda tena kwa kura za haki na wazi wazi.
Ubaguzi kamwe hauwezi kushinda.
Huo ndiyo ukweliWananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Jamaa yako anapigwa tena asbh tu. next time ajifunze huwezi shinda uchaguzi kwa kutumia hoja za kibaguzi na kushambulia viongozi wenzakoMjiandae kuwa CUF
Hakuna ubaguzi hapo hatutaki mambo ya akina KagameYaani jiunge nae hata leo, Mwamba anashinda tena kwa kura za haki na wazi wazi.
Ubaguzi kamwe hauwezi kushinda.
Tunakuja CCMCHADEMA sikio la kufa, Mbowe kwanini anahonga wajumbe kwanini?
Karibuni sana CCM tujenge nchi,
CCM inapinga rushwa kwa nguvu zoote
UWT tangu lini mkapenda Mbowe?Jamaa yako anapigwa tena asbh tu. next time ajifunze huwezi shinda uchaguzi kwa kutumia hoja za kibaguzi na kushambulia viongozi wenzako
Kibamba wao wamesema Wasipomchagua Lissu basi biashara ya siasa za chadema itaishia hapo hapo.Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Wajumbe wapige kura na wazilinde mita 200.KUMCHAGUA MBOWE NI KUCHAGUA KI FO CHA CHADEMA
WAJUMBE KUWENI MAKINI SANA
Hali ni mbaya sanaKibamba wao wamesema Wasipomchagua Lissu basi biashara ya siasa za chadema itaishia hapo hapo.
Hawakopeshi.
Kwani ulitoka lini ccm? Mbona siku zote upo huko.Lisu akishinda kura yangu kwa CCM.Lisu hana karama ya uongozi
Wewe mbona upo ACTKwani ulitoka lini ccm? Mbona siku zote upo huko.