antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani Abdul ni wa chama gani?!!Karibuni sana CCM tujenge nchi,
CCM inapinga rushwa kwa nguvu zoote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Abdul ni wa chama gani?!!Karibuni sana CCM tujenge nchi,
CCM inapinga rushwa kwa nguvu zoote
Na Cdm kesho inaenda kuwa katika nafasi mojawapo, kuwa wapinzami ama Ccm.Ni CCM pia
DuuuhKwanini chadema wanaichukia ACT?
Kwani lazima ushabikie siasa ? Mbona kuna mambo tele ya kuyapatia mkazo, uzito na umuhimu kuliko hayo mavyama. Utakufa, utalemaa, au kufilisika bure.Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Sawa lakini sio rushwakama ulijiunga Chadema kwa sababu ya mtu, uamuzi wako ni sahihi. Lakiji kama kilichokupeleka Chadema ni Itikadi, na falsafa iliyopelekea kuanzoshwa kwa chama hicho,ninyi ndio msiofahamu mnataka nini.
Samahani ikiwa lugha yangu sio sawa.
SawaKUMCHAGUA MBOWE NI KUCHAGUA KI FO CHA CHADEMA
WAJUMBE KUWENI MAKINI SANA
Jiunge tu hakuna namba....Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
WACHA MBOWE ASHINDE TUONE NINI KITATOKEA.....,HAO HAO WASIOMTAKA WATAKIMBILIA CCM AMBAKO WANASEMA MBOWE KAPEWA PESA!!Dalili mbaya imeonekana Bawacha .
Mbowe akishinda chama kutakuwepo lakini kitakua kama CUF ,NCCR na UDP.
Wananchi kwa kweli na viongozi wa chini hawatakua na uwezo wa kukabiliana na CCM .
Mbowe hatapata hasara maana kama ni pesa anazo na pia kiu yake ya kukaa kwenye kiti Muda Mrefu itakuwa imetimia .
Watakaopata hasara na kuumia mioyo yao ni wanachama wa kawaida ambao hawanufaiki na chochote zaidi ya kupinga ufisadi unaonufaisha wachache . Hata Morali wa kupiga Kura utapotea .
Hata Mgombea urais CHADEMA watakosa itabidi Mbowe agombee mwenyewe au agombee Wenje au Sugu au Bony Yai 😂😂😂😂😂😂😂.
Mpaka hapo chama kimeshakufa. Bawacha wamechemka wameweka msaliti wa wazi .
Mwakani CHADEMA litakua na wabunge wachache sana chini ya Mbowe tena wa viti maalumu akiwemo mwenyekiti wa Bawacha ambaye pia atapata uteuzi wa mama Samia . Hata pakiwa na Tume huru CHADEMA haitapata viti vingi maana vijana wengi na wasomi wengi hawataipigia kura maana hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza nchi chini ya Mbowe. Lisu hawezi kukubali nafasi yoyote ya uongozi chini ya Mbowe ,hata kugombea ubunge chini ya Mbowe ni kupoteza maana kama amesema hafai kuongiza kwa sababu hana busara unampaje uongozi ?
Lakini Lisu akishinda basi ni wazi CHADEMA itapata viti vingi vya Wabunge hata wa viti maalumu watakua wengi.
Wasira hawezi kukabiliana na Heche milele.
Lakini kwenye uadilifu Wenje hawezi kukabiliana na Wasira .
Mbowe hawezi kukabiliana na Samia kwenye jukwaa wala Wasira maana ni wasafi kuliko Mbowe.
Mbowe akishinda hata kwa haki bado wananchi hawamtaki na hawataki kabisa kusikia habari za CHADEMA ya Mbowe.
Mbowe ajiulize Mbona Lipumba ni yule yule Profesa wa uchumi duniani lakini ameshindwa kuifufua CUF na hana ushawishi kabisa wa kuifufua CUF milele .
Wanaomshabikia Mbowe wanatumiwa kumpotosha ili kuiua CHADEMA . Na watafanikiwa kwa asilimia mia moja endapo wajumbe wataingizwa na Tamaa ya fedha . CCM wana jeuri ya pesa . Hata wakiamua kugawa bili. moja kwa kila mjumbe wanaweza kwa sababu waleshagundua kuwa Mbowe naye ana tamaa ya madaraka kama wao . Sasa ni bora wawape pesa halafu wasipate shida kwenye uchaguzi .
CHADEMA imevamiwa na Rushwa . Kwa sasa wananchi hawana nguvu tena ile waliyokuwa wanabiwa nguvu ya umma . Hakuna cha nguvu ya umma zaidi ya umimi .
WACHA MBOWE ASHINDE TUONE NINI KITATOKEA.....,HAO HAO WASIOMTAKA WATAKIMBILIA CCM AMBAKO WANASEMA MBOWE KAPEWA PESA!!
MSIGWA YUKO WAPI...
PoleWananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Pole, yule mwamba , pesa kwake mmmh ? Mate ya fisiWananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
🤣 🤣 🤣Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
🤣 🤣 🤣CHADEMA sikio la kufa, Mbowe kwanini anahonga wajumbe kwanini?
Karibuni sana CCM tujenge nchi,
CCM inapinga rushwa kwa nguvu zoote
🤣 🤣 🤣Sasa kuongozwa na Mbowe kunatofauti gani na kuongozwa na Wassira?
Hawa wote ni CCM
Wewe mwenyewe unamuogopa Mbowe ndio maana hutumii jina lako halisi, halafu unalaumu wenzio? PUMBAVU!!Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Huo ndo ukweli, uchaguzi wa Leo chadema Wana uamuzi wa kuamua wafe au waishi, chini ya mbowe chadema itakosa hoja kabisa kukabiliana na ccm.Imeniliza hii
Umemaliza, Bila D mbili kuelea ngumuMbona haluelewi nguvu za sili zinavyofanya kazi ?
Mbowe hana mvuto kwenye jamii.
Mbowe akishinda chama kitapoteza nguvu na uchaguzi ujao chama kikuu cha upinzani kitakua ni ACT. Mbona Liko wazi . Hakuna mtu atakayeganya sisa za kisanii kwa manufaa ya Mbowe na watu wachache wanaonufaika na Ruzuku tu.
CCM inajengwa kwa sababu ya kubadilsha badilisha uongozi . Lakini pia kwa sababu ya kuwa na dola . Sasa CHADEMA hakina dola wala pesa halafu Mbowe anataka kulifanya kama kinaumuhimu sana kuliko vyama vingine huku akipuuza demokrasia na haki wa wengine kuongoza chama eti yeye tu ndiye anayeweza . Ujanja wote watu wameshamshtukia . Jiulize tu hicho chama kitamshimamosha nani kwenye uchaguzi ujao kama Mbowe atashinda . Kwa maana kuwa Lisu kwa akili yake kubwa hawezi kukubali kugombea urais wakati wamekataa kwenye Uenyekiti kwa kushirikiana na CCM na kwa kutumia pesa nyingi na kejeli. Lakini pia CCM itakubali vipi kushindwa wakati Mbowe ameonyesha wazi kuwa ukiwa madarakani ni lazima utumie mbinu zote kushinda kuliko kuachia uongozi kwa wengine . Mbowe ameonyesha wazi kuwa kugombea nafasi ya uongozi ni utovu wa nidhamu na kukosa shukrani ,sasa utawaambia nini CCM ? Nani atakubali tena kupoteza jimbo lake kwa wapinzani? Kwa nini mtu asitoa rushwa akawahonga baadhi ya wahuni kwenye vyombo vya dola na tume ili atangazwe yeye ? Yaani kabisa mbunge wa CCM au diwani akubali kushindwa wakati anaona kabisa Mbowe akishinda kwa mizengwe .?
Karma hua inalipa hapa hapa duniani. Mbowe akishinda kwa Hadaa karma itamkipa hapa hapa akiwa mwenyekiti atashuhudia chama kikifa na kupoteza umaarufu wake ,halafu kitafufuka baada ya yeye kuondoka maana ni chama kilichojengwa na watu kama CCM inavyopanda na kushuka lakini haipotezi wanachama wake bali inapoteza ushawishi mkubwa ukilinganisha na mwanzo kutokana na ufisadi na Hadaa za uchaguzi.
Tumwambie Mbowe ukweli japo ni ngumu kwa mfugaji kumrudisha ng'ombe anayekamuliwa kwa mwenye ng'ombe .
Leta ushahidi wa hiyo rushwa unayoisema au mmekaririshwa?Sasa kwenye CHADEMA rushwa inakubalika?
Chama kimepoteza misingi yake nahama.