Nitawadharau Yanga mkicheza mechi itakayopangiwa tarehe nyingine dhidi ya Simba

Yaani Yanga inamiliki makomando?
We umewahi kumwona komando?
Hao wanajeshi wenye mafunzo ya ukomandoo mafunzo wamechukulia wapi?
Kwani Lady Jaydee alipata wapi mafunzo mpaka kujiita Komando Jide?

Mimi nawataja kama mabaunsa sio komando.

Mabaunsa ni watu wenye miili mikubwa afu ubongo kindude.

Komandoo ni mtu mwenye akili ama kweli kwenye hilo mna haki ya kupinga kuwa wale sio makomandoo.
 
Waraka wa umbumbumbuni ulisema kuwa makomando wa Yanga waliwazuia.
Sasa Yanga wana chuo Gani au depo Gani ya kutoa mafunzo ya makomando na kuwamiliki
 
Una hoja mkuu utafika mbali
 
Waraka wa umbumbumbuni ulisema kuwa makomando wa Yanga waliwazuia.
Sasa Yanga wana chuo Gani au depo Gani ya kutoa mafunzo ya makomando na kuwamiliki
Ndio maana nimekuambia Jide naye ni Komando, mafunzo yake aliyapatia wapi?

Ila ni wote tunamtanbua kwa jina hilo.

Sasa kama wale mabaunsa walijitambulisha kuwa ni makomandoo ulitaka waseme migambo ili baadae wapate mwanya wa kukana kuwa hatukuwa sisi?
 
Kabisa sababu kuu ni mbili;

1.Imani za kishirikina na uchawi(kwenye eneo hili simba hana mpinzani).

2.Simba kumuogopa Yanga kutokana na kuwakosa wachezaji wake muhimu.
 
Sikujua kama Lady jay Dee
Judith Wambura ni komando.
Ndo nasikia Leo kutoka Kwa mbumbumbu
 
Dakika 6 sasa tangu mechi ianze leteni updates.
Mwanaume akimbii uwanja wa mapambano.

Hata kama una kikosi dhaifu na wachezaji wako tegemeo(Camara na Ateba)ni majeruhi naamini sisi Yanga ni waungwana sana.

Tusingekupiga kono la nyani.
 
Mwanaume akimbii uwanja wa mapambano.

Hata kama una kikosi dhaifu na wachezaji wako tegemeo(Camara na Ateba)ni majeruhi naamini sisi Yanga ni waungwana sana.

Tusingekupiga kono la nyani.
Unasema "mwanaume" kuonesha ego at the end hiyo ego haiwi applied zaidi ya imani za kioumbavu za ushirikina.

Kama wewe unajiamini ni mwanaume unayeweza kunyooshea vidole ambao hawajashiriki mechi kutokana na ukiritimba wenu wa kishirikina.

Kwanini usijuiulize swali hilo hilo kuwa kama sisi ni wanaume kweli kwanini tuingie uwanjani kwa kuruka ukuta?

Kwanini tufike uwanjani separately basi likiwa tupu halina wachezaji then kika mtu anakuja randomly mara mwingine aje na boda, wengine wamejipakia kwenye guta.

Ili iweje? Nadhani hii peke yake inatosha ku question huo uanaume wenu.
 
My wetu umeamua kukimbia.

Sio mbaya tutakutana na tutakufunza adabu tu.

Utake usitake.

Labda ukimbie kucheza na sisi milele au ukimbilie ligi ya Burundi.
 
Kwakua utopolo mmeshindwa kufata sheria sasa mtawajibika kucheza siku simba itakayoamua hiyo ni amri na siyo ombi utopolo wakubwa nyie
 
Ndo nimesema nitawadharau
Haiwezekani Simba wafanye uhuni halafu Yanga waandae timu mara mbili kucheza mechi 1
Kwa Yanga kuweka mabaunsa watafuna mirungi waizuie Simba kufanya mazoezi hujawadharau?

Hivi ni kweli mabaunsa wanao uwezo wa kumzuia mchawi?

Ubaya Ubwela 😂😂
 
Kwa Yanga kuweka mabaunsa watafuna mirungi waizuie Simba kufanya mazoezi hujawadharau?

Hivi ni kweli mabaunsa wanao uwezo wa kumzuia mchawi?

Ubaya Ubwela 😂😂
Yanga hajaweka baunsa yoyote
Yanga hakuwa uwanjani
Uwanjani waliokuwepo wamiliki wa uwanja
Yanga hakuwa na matumizi ya uwanja muda huo
 
Majini Yao yatanyonya damu zao shubamit🤣 yalishafunguliwa hayawezi kulala njaa😁
 
Muda ukifika huyo raisi wako wa klabu atapokea maelekezo tu kutoka kwa wakubwa wake.
 
Nipe Kanuni iliyowataka Simba SC watoe taarifa, na kanuni iliyotamka muda rasmi wa kufanya mazoezi kabla ya mechi husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…