Nitawaleteeni makala nzuri kuhusu ulaghai wa wazungu kwa walibya na majuto waliyonayo hii leo ili msije kunasa kwenye mtego uliowanasa Walibya

Mbona unaandika kama mjinga vile? Unauliza habari za kura? Watanzania wazalendo waliwahi asubuhi na mapema kwenda kupiga kura wakati wewe upo umelewa na kuamka na mipombe yako kichwani.
Nasema hivi we 🌈 peleka use@nge mbali. Mnadhani kuna wajinga wa kulisikiliza hilo jizi la kura na liuaji? Kama mlitegemea mpore uchaguzi na kuja na hizi porojo za kitoto, basi safari hii mmeukalia.
 

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17h4VAwS36/
 

Attachments

  • 11-03-2025-11-20-36-am-4114517.jpg
    30.5 KB · Views: 23
Nasema hivi we 🌈 peleka use@nge mbali. Mnadhani kuna wajinga wa kulisikiliza hilo jizi la kura na liuaji? Kama mlitegemea mpore uchaguzi na kuja na hizi porojo za kitoto, basi safari hii mmeukalia.
Huna akili kabisa wewe na ndio sababu unashindwa kujenga hoja na kuishia kutukana matusi tu kama kichaa au mwendawazimu
 
Mpumbavu mmoja wewe
 
Huna akili kabisa wewe na ndio sababu unashindwa kujenga hoja na kuishia kutukana matusi tu kama kichaa au mwendawazimu
Nasema hivi we 🌈, uko nje ya muda. Kipindi cha kulisha watu propaganda outdated kimepita, sasa hivi mnadeal na kizazi tofauti. Mlitegemea uoga wa wananchi kufanya mtakacho, kwa sasa ujasiri upo wa kutosha. Hakuna wajinga mtawatawala kwa shuruti tena.
 
Acha kumfananisha Gadafi na vitu vya kipuuzi, huyo manyonyo wako ana jambo gani watanganyika wanalo jivunia kwake?
 
Unaamini kuna Mtu mwenye akili huwa anakusikiliza?
 
Hivi wewe kilaza unafikiri humu watu wote ni wajinga kama wewe ? Hizo propaganda mfu washirikishe mbumbumbu wenzako huko CCM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…