Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Kidato cha nne mambo yooote, Wajua!!! Una kipaji mdogo wangu/mwanangu!!
 
Dogo kumbe ni mwanafunzi!! Upo form ngapi!?
 
Maisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu

Nimekumisi wewe mwanadada
 
Patatulia kidogo. Unaacha kusoma,unashinda JF muda wote ukikaririshwa kidato unalia. Nenda salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…