Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habbar kinavyosomeka hapo juu

Dah inauma sana lakin ndo hivo kwaherin ndugu zangu, week ijayo yaan jumanne inatakiwa niwe nishafika shule maana shule tumefungua

Na shule ninakosoma ni bording hivyo huwa haturusiwi kuwa na simu pia hata home huwa hawaniruhusu kwenda na cm shule hivyo huwa naiacha home

Nitawakumbuka sana ndugu zangu masela zangu, bro zangu na sister zangu

Tutaonana tena mwez wa tatu maana huwa likizo fupi

Tuliogombana naomba mnisamehe sana nami nishawasamehe

Baba wa mbingun awabaliki sana panapomaajaliwa mwez wa tatu tutakuwa wote

Naomba mniombee sana nipige kitabu wakuu

Nitawakumbuka sana
young-dee.jpeg


By by

LONDON BOY
 
Maisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu
 
Back
Top Bottom