Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Unataka wamfungie Msanii wao alafu Kampeni za Uchaguzi mwakani 2025 aje aimbe nani? [emoji28][emoji28]

Sijui wasanii wa lebo ile bila matusi sijui hata wangekuwa wanaimba nini

Maana kwenye nyimbo 10 lazima nyimbo 9 zimejaa matusi tupu

Poor BASATA
Wataimba nini ilihali tabia ni ngozi hazijifichi na ndivyo jinsi walivyo hao Wasanii kimatendo?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwani basata eneo lao la kujidai halina mipaka? Au ndiyo kusema ni hadi Kenya, Rwanda na hata Burundi huko?
 
Nyimbo zinazohamasisha uzinzi, ushoga na uvutaji wa bangi na shisha ndizo zinapendwa na mashabiki na ndizo zinazowaingizia wasanii kipato. Unataka waimbe nyimbo zenye maadili wafe njaa? Zingatia maokoto mkuu
 
Wataimba nini ilihali tabia ni ngozi hazijifichi na ndivyo jinsi walivyo hao Wasanii kimatendo?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli wanachangia sana mmomonyoko wa maadili Kwa aina ya nyimbo wanazoimba.

Mara Shisha,Pombe, kuweka kwenye mtaro n.k

Ni disaster Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…