Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Kuna nini kwani? Make unatiririka tu kama mjane kadhulumiwa shamba
 
Mmenikumbusha kikwete alicheza wimbo unatamka "nyama ya mbele ni taaaaamu ya nyumaaaa inamafutaa" au ilikuwa samaki wanamla wanamgeuza geuza
Wakongwe tukumbushane
 
Hii nchi kuna upuuzi mwingi Sana na unafiki, alichotamka zuchu, kinafsnywa Sana, tena huko zenj, ndio Sana, sasa unafiki wa nini? Kusema katakana! Hayo matusi tunayasikia saana kila siku,
Tatizo LA kuingiza personal moral standards kwenye Mambo several, wewe kama kwa Imani yqko, kuvaa hereni, kutoboa pua,ni kosa,kwa, wengine vitu vya kawaida tu!
Diamond akivaa hereni kosa, Ila Masai akipiga hereni sawa! Kwa hiyo hapa hereni sio ishu, Ila kwanini unaiga utamaduni wa mwingine!? Kwani ni champion au jinai!?
 
Huyu chuchu BAKWATA au akina Sheikh Ponda wamuite wampe mawaidha. Anahitaji mawaidha ili akumbuke baada ya maisha kuna mauti na kuna malipo
 
Waogaaaaa hawawezi yan si kwa matusi yaleee mbavuxaoo
 
Mku. Ni tusi?
kinachoangalia ni context ya Nyimbo aliyoimba sio nomino au jina la kiungo alichotaja..
Contents zipo kama zifuatazo..

"Ila tutume taarifa kwa Upande wa pili wanaohisi watamchukua
Nawaona nawaona Mnamaliza miungu,Mnamaliza Mikao ,Mnamaliza Utundu..
Huyu kwangu Hapatoki hata mumpe mku..."


Neno la mwisho peke yake linaweza lisichukuliwe kama tusi ila context nzima na dhima yake inachukuliwa hivyo..
Ishara aliyoionyesha kipindi anaimba anaonyesha anachomaanisha kwa hiyo kauli ni kipi..

Sasa utetezi wa namna hii ni mzigo wa mawazo kwa maadili ya kitanzania
 
Fine yenyewe milioni 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni hisia man.
 
Hizo ni hisia man.
Mkuu hapa kuna hisia gani..
Baada ya kutaja hicho kiungo mkono wake na Viungo gani alivielekeza kwa camera watu waone???

Your browser is not able to display this video.


Kwa zuchu hili sio Kosa lake la kwanza kwani alishawahi kufungiwa Miezi sita kwa kosa la maneno machafu kama hilo hilo..
Your browser is not able to display this video.


TUSIGEUKE WATETEAJI WA KILA KITU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…