Uchaguzi 2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

Uchaguzi 2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

inashangaza sana kumuona mshabiki wa Yanga anashauri kocha wa Simba awe nani.

Any way, mleta mada tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Yanga; Hii timu ya Simba kama inataka ushindi dhidi yetu sidhani kama inastahili kumpanga Meddie Kagere pale mbele. Kwanza huwa hajui kufunga, na uwezo wa kupiga Mpira vichwa hana kabisa. Yaani itakuwa hasara kubwa kumuweka hata benchi la akiba.

Simba; Pelekeni ujinga wenu huko, ebo!
Yanga tatakuwa vizuri kuliko Simba msimu ujao, Yule strikerni hatari kwa mpinzani wetu
 
Yote tisa, kumi alimtukana Mwalimu Nyerere.
Hiyo ni turufu ya kumg'oa knock out.
Even in death, Mwalimu anamtoa nje Lissu.
 
Kuna mtu ambaye amewahi kushuka wadhifa wa juu nchini mwenye matusi Tena ya nguoni na lugha chafu kama magufuli? Ni lugha ipi chafu Lissu ashawahi kukutukana au kutukana? Vilaza na mazwazwa hudhani maneni makali yanayochoma kwao Ndio matusi.Unataka tupake mavi rangi ili yang'ae?CCM achani ujinga
 
Ukweli mchungu TUNDU LISSU hana kabisa sifa za kuwa PRESIDENTIAL MATERIAL, TL yule anafaa kuwa chini ya mtu yeye abaki kuwa mtendaji tu.. ila kwakuwa hawa wafuasi wa hicho chama akili zao tunazijua vizuri tu watakejeli sana.

Matusi sana mbaya zaidi watadai kuwa mara CCM inamuogopa mara sijui CCM inahaha ukweli ni kwamba hakuna UCHAGUZI hasa ngazi ya urais mwepesi sana kama uchaguzi huu wa 2020, wanaopiga kelele wengi ni wafanyakazi na wenyewe hawafiki hata 1M.

watu wanatoka ibadani saa mbili wanakuta Rais kashatangazwa ni DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
 
LISSU na Magu ....Magu anazidiwa vitu vingi mpaka IQ
 
Back
Top Bottom