BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Tundu lissu ni mwenyekiti wa CCM?Mbona unamsema mwenyekiti wa ccm?
Dah kama ulikuwa kichwani mwangu!Umechukua sifa mbovu za mgombea wa CCM ukamwekea Lissu.
Umekumbuka jana nilikuambia ccm hawako tayari Magufuli aingie kwenye ushindani na hasa Tundu Lisu? Huo ndio mrejesho. Inafahamika kuwa iwapo Lisu atagombea, atamuweka Magufuli kwenye wakati mgumu sana.
na Lissu ndiye mgombea wa Chadema na Dunia , nisome vizuri , Magufuli ni rais wa miaka mitano 5 tu , kwa kujiamini naandika haya , hongera wastaafu wa ccm kwa kurahisisha mchakatoUmekumbuka jana nilikuambia ccm hawako tayari Magufuli aingie kwenye ushindani na hasa Tundu Lisu? Huo ndio mrejesho. Inafahamika kuwa iwapo Lisu atagombea, atamuweka Magufuli kwenye wakati mgumu sana.
Sasa hivi ndo dunia inatuchekaYule Jamaa mropkaji wa matusi akiputishwa dunia itatucheka
'' na wewe tunakuweka hapo ili mkagombanie wanaume''. Hii kauli ni kuropoka? Kukosa staha? Jazba? Kukosa busara? Kuona wengine si chochote zaidi ya kugombania vitu vidogovidogo? Au? Hebu nipe jibu comrade.Yule Jamaa mropkaji wa matusi akiputishwa dunia itatucheka
Karma always takes its place.Agfadhali yeye alimtukana Kuna wale waliomyima matunzo Hadi akadhoofika afya, na wengi walimtanguliza mbele, wanafiki tu wanamsifu kinafiki
'' na wewe tunakuweka hapo ili mkagombanie wanaume''. Hii kauli ni kuropoka? Kukosa staha? Jazba? Kukosa busara? Kuona wengine si chochote zaidi ya kugombania vitu vidogovidogo? Au? Hebu nipe jibu comrade.
Ahahaha umepanic brotherAchana na sisi kwanza hupati kitu kwa kumchukia lissu
Nimelipenda sana hili jibu kwa wana-Lumumba. Wape salam. Simba na Yanga kweli watakutana fainali ya FA?Yanga; Hii timu ya Simba kama inataka ushindi dhidi yetu sidhani kama inastahili kumpanga Meddie Kagere pale mbele. Kwanza huwa hajui kufunga, na uwezo wa kupiga Mpira vichwa hana kabisa. Yaani itakuwa hasara kubwa kumuweka hata benchi la akiba.
Simba; Pelekeni ujinga wenu huko, ebo!
Bia yetu.Yule Jamaa mropkaji wa matusi akiputishwa dunia itatucheka
Wote wawili magu na Tundu lisu walishajidhihirisha mbele ya jamii...kwa misingi kwamba jamii inawajua hulka na Tabia zao mzee, Sasa hizo sifa ulizoainisha kwenye bandiko lako Ni sifa ama hulka za mwenyekiti wenu magu hakuna ubishi juu ya Hilo. Vinginevyo uendeleze propaganda tu hapa nitakuelewa.Tundu lissu ni mwenyekiti wa CCM?
Usipotoshe lengo bwana sheikh kama nyie wenyewe mmeshindwa kumtetea basi hafai