General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
- Thread starter
- #21
Asante sana ndugu yanguPole mkuu. Utapona kadiri muda unavosegea na hatimaye utamsahau kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana ndugu yanguPole mkuu. Utapona kadiri muda unavosegea na hatimaye utamsahau kabisa.
Asante kakaTafuta Hela ..
Tafuta pesaaa
Tafuta fwezaaaa..
Jeuri itamuisha!!!
General nguli una kwama wapi?? Aiseee simama kiume hzo KAULI za kawaida sana usiyumbeWakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.
Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.
Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.
Naombeni Msaada mwenzenu.
Ndoa na kuoa ni ufala acheni upumbavu achana na hao mangedere hawana tofauti na vibwengo majiWakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.
Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.
Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.
Naombeni Msaada mwenzenu.
Niko iyo unayoiita 40+ naishi peke yangu huu mwaka wa sita.Nna furaha Tele sina stress.Japo nliyopitia kwenye ndoa si madogo, namshukuru Mungu bado naishi [emoji1666]Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.
Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.
Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.
Naombeni Msaada mwenzenu.
Kaka mimi ndoa naiogopa kama ukoma sugu.Sasa nayo pitia sijui ntapona lini.Niko iyo unayoiita 40+ naishi peke yangu huu mwaka wa sita.Nna furaha Tele sina stress.Japo nliyopitia kwenye ndoa si madogo, namshukuru Mungu bado naishi [emoji1666]
Nakuelewa sanaaNdoa na kuoa ni ufala acheni upumbavu achana na hao mangedere hawana tofauti na vibwengo maji
km ni mjeuri na kaamua kusepa mwenyewe mbn simpo tu. we endelea na life lako km hakuna kilichotokea akikutaka atakutafuta yy mwenyew fullstop. akirudi tena umpe principal zako km azitaki muache asepe zake. wapo wengi ao usiumize kichwaKaka unachosema ndo hicho.Kaka huyu mwanamke ni Jeuri mpaka najuta.Ila sasa huu mwaka 5 naishi nae.Sasa dah
Kuwa Muislam uweze kuwaha na kuoa wengine.Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.
Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.
Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.
Naombeni Msaada mwenzenu.
Jenerali wa jeshi mzima unalia lia.Wakubwa zangu poleni na uchovu.

Una miaka mingapi? Na mwenzako ana umri gani?Ili kujua iwapo hivyo vinawezakuwa na mchango katika shida mnayoipitia.Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.
Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.
Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.
Naombeni Msaada mwenzenu.
Bro huyo mwanamke ameshapata mtu mwingine ndio maana anajeuri ya kukuambia hivyo.Wakubwa zangu poleni na uchovu.