Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

Mna watoto wangapi? Inaonekana wampenda sana, badilika na mchukulie, kama halali nje au hana shida ni kiburi tu unaweza ishi naye, achana na ujinga wa Kiafrica kwamba mwanaume sijui bla bla bla...

Kama wampenda, ni uanaume pia kujitahidi kumrudisha na kumhakikishia usalama wake. Kwa nini uteseka na mawazo, na mke ni kumshawishi tu arudi, cha maana ubadilike.

Maisha ya kelele na ugomvi kwa mwanamke ni magumu sana na yanaua hisia, badilika, naamini una matatizo, ndo maana kasema kachoka kelele na ndugu zako.

Kupanga, ni kuchagua.
Umeandika pumba aisee. Yaani unamshawishi jamaa awe zoba waziwazi, goddamn!

Wewe ni mwanamke bila shaka.
 
Mwanamke akikuambia kakuchoka jua wazi kabisa anamaanisha, hivyo jaribu kujitathimini ni wapi ulikosea kama mwanaume. alafu kaanae chini faragha urekebishe nae, ikibidi igiza kujutia maana wanawake wanahuruma sana na uvumilivu upande wa pili.
Hakuna kitu anasema mwanamke na akamaanisha kwa 100%

Nina uhakika nawe mwanamke.
 
Wewe umeweka mapenzi kwa ndugu..

Mapenzi kwa mkeo umeacha...

Hii ndio sababu ya yote...

Rudisha mkeo nyumbani na kaa upande wake..

Upendo huvumilia, husame...
Kwamba afanyeje? Acha basiii! We mkaka wewe! Thubutuuuu.
1. Kupika ndo huwezi?
2. Kama ulizaa nae,uwezo wa kulea ndo hauna?
3. Kutandika kitanda chako au usafi ndo huwezi?
Matatizo mengine mnatafutaga wenyewe. Si lazima useme hapa. Lakini,wakati unajidai umepata pisi kali,ndo siku changamoto zilipoanza. Mpaka akutamkie kuwa hataki kuendelea na wewe,ulisubiri nini? Kwa hiyo,dunia nzima,ndo mwanamke pekee alozaliwa?
Yaani we huoni unakimbiza upepo. Umepata bahati ya pekee,lijitu linaenda kudanga huko,unalionea huruma. Acha liende. Kumpata mwingine wa nini? Kama kugegeda si unazama sokoni(gereji),unamwaga oil unasepa! #KataaNdoa
 
Wakubwa zangu poleni na uchovu.

Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.

Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.

Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.

Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.

Naombeni Msaada mwenzenu.
Tunataka kuolewa walioolewa wanavunja ndoa..daah.
 
Pole sana Kuna muda maumivu ndio yanatufanya tunakuwa na ujasiri ona ni sehemu ya maisha utakuwa sawa
 
Dah pole sana mwanangu, ila tatizo kajua udhaifu wako kuwa unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda.
 
Back
Top Bottom