Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Umeandika pumba aisee. Yaani unamshawishi jamaa awe zoba waziwazi, goddamn!Mna watoto wangapi? Inaonekana wampenda sana, badilika na mchukulie, kama halali nje au hana shida ni kiburi tu unaweza ishi naye, achana na ujinga wa Kiafrica kwamba mwanaume sijui bla bla bla...
Kama wampenda, ni uanaume pia kujitahidi kumrudisha na kumhakikishia usalama wake. Kwa nini uteseka na mawazo, na mke ni kumshawishi tu arudi, cha maana ubadilike.
Maisha ya kelele na ugomvi kwa mwanamke ni magumu sana na yanaua hisia, badilika, naamini una matatizo, ndo maana kasema kachoka kelele na ndugu zako.
Kupanga, ni kuchagua.
Wewe ni mwanamke bila shaka.