Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Labda ungewaambia hisa Ni stock kwa kiingereza ndio watakuelewa

Maana watu huwa hawajui kutofautisha Mambo [emoji1]

Sasa huku dunia Kuna stock markets zenye ujazo wa pesa sio hizo za DSE bwana stone akiingilia tu dakika tu mko zero [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wale twins bilionaires wa Bitcoin

The winklevos brothers school mates wa mark Zuckerberg

Hawa watz achana nao mi huwa hata sinaga stimu kuelezea hii kitu mtaani
Nimekoma mkuu.. jaribu kusoma hicho kitabu cha Michael Steinhardt nime attach kwenye comment
 
Kuna wale twins bilionaires wa Bitcoin

The winklevos brothers school mates wa mark Zuckerberg

Hawa watz achana nao mi huwa hata sinaga stimu kuelezea hii kitu mtaani
Nimekoma mkuu.. jaribu kusoma hicho kitabu cha Michael Steinhardt nime attach kwenye comment
 
Umeandika Ushuzi, endelea kuishi kwa shemeji yako we Kei
 
💯💯💯
 
Umesema kitu kizuri sana lakini ku invest kwenye coin sio kwenye Bitcoin tu, zipo coins nyingi sana na baadae zinaweza kuwa na value kama bitcoin tu. Ie unaweza nunu 'V chain' coin sasa hivi kwa bei rahisi ila badae itakuwa juu sababu ya project yao. Naweka list za coins mtu anaweza nunua now akapata faida kubwa baadae.
Cardano, Zilliqa , Doge , KNC , Theta na nyinginezo.
Naweka mfano wa portfolio yangu ya coin hizo za kuuza baadae baada ya kama 3 yrs. Also nafanya daily trade mfano juzi mpaka leo niliweka $430 kwenye Graph coin 'GRT' nilinunua coin 3107 kwa $0.13 kwa sasa bei ni 0.74 nikiamua kuuza napata almost 3K kwa investment ndogo niliweka kwenye hiyo coin tu. Kwahiyo crypto ni kuisoma na kufatilia graph with small investment unaweza tusua.
 
Pyramid Business.. Hakuna cha zaidi..

Wachache wa kwanza ndio watafaidika, watakaofata ndio cha moto watakiona..

It's the likes of Mr Kuku, Deci, Qnet..
yaani wewe ndio lijinga la mwisho yaani backbancher kabisa
 
akikujibu nidip mkuu
Kama una bitcoins yes unaweza kuuza na ukakamata pesa yako mkononi. Mimi kwa ushauri tu kwa mtu ambaye unataka kumake money achana na bitcoin yenyewe tafuta coins zingine za kutrade zipo nyingi. Unaweza kuweka hela yako kwenye BTC leo na kesho ikashuka mpaka $17,000 kwahiyo utapoza pesa nyingi sana. Kwa bei ya btc kwa sasa ni coin ya wenye pesa ndefu kwa wenzangu wa kuunga sio coin salama kuweka pesa kwa sasa. Ila ikishuka price mpaka $17 K kushuka chini yes unaweza nunua. Possibility ya kushuka ipo kubwa tu maana itaingia kwenye consolidation price soon na ikianza hivyo na market ikiwa mbaya agains $ itashuka tu.
 
Nikisema Bitcoin ni Upatu uliozeeka... Na Coin nyingine ni upatu mpya. Wanaojiunga mapema wana nafasi ya kuwa rewarded Kujenga imani kwa watakaopigwa baadae... Nitakuwa nakosea.!?
 
Nikisema Bitcoin ni Upatu uliozeeka... Na Coin nyingine ni upatu mpya. Wanaojiunga mapema wana nafasi ya kuwa rewarded Kujenga imani kwa watakaopigwa baadae... Nitakuwa nakosea.!?
Tofauti na upatu coin market ni strategy yako ya kusoma na kuchanganua market. Kama ilivyo traditional stock market tu. Upatu unapigwa straight forward.
 
Tofauti na upatu coin market ni strategy yako ya kusoma na kuchanganua market. Kama ilivyo traditional stock market tu. Upatu unapigwa straight forward.
Na basically Ukiachana na strategic speculation for gain... Coin Hizi ninaweza kuzitumia wapi!?

Eg. If i buy dollars I can use them to buy things, pay for services... Hizo coin zinatumika wapi... Yaani who is the end-user wa hizi coin!?

If i wanted to become a supplier of these coins for a small margin to the end user(much larger market)....that's why am asking.
 
Unatumia ku trade kwenye platform za trade na pia unaweza uza kwa terms ya $ na kuhamishia kwenye AC yako.
 
Hiyo ni exchange gani mkuu unatumia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…