Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Sawa Tajiri wa maneno maskini wa mali na akili..
 
Nataka kujua platform gani unatumia boss
 
Bitcoin na Forex ni Pyramid business kama Mr. Kuku, Deci na Qnet????

Oyoyoyoyooo!! Una mengi ya kujifunza ndugu
Unamfaham huyu? Basi usijisumbue kumjibu achana nae,


By the way,kuna watu hapa wanakupinga lkn trust me,ndio wanafanya na wako vzr hauwafikiii hara robo, sema wanajitoa ufaham nyuma ya keyboard...


USICHUKULIE SERIOUS KILA ANAYEPINGA.
 
Pyramid Business.. Hakuna cha zaidi..

Wachache wa kwanza ndio watafaidika, watakaofata ndio cha moto watakiona..

It's the likes of Mr Kuku, Deci, Qnet..
Itakuwa umejiumbia Dunia yako
 
Mara nyingi kwenye cryptos.. watu wanangalia zile coins ambazo zina support activity ambayo ipo potential kwa jamii..

Ndo mana utakuta watu wanakuambia Etherium ina potential kubwa kuliko hata Bitcoin
Saiv bei ya etherum ni usd ngap per coin?
 
Mkuu kufanya mining ndo kufanya nini huko??
Nielekeze

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kufanya mining ndo kufanya nini huko??
Nielekeze

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna Cryptocurrency ambayo ipo katika development phase bado haina thamani na ipo for free hopefully after a year inaweza kua na thamani. Kwa sasa unachotakiwa kufanya ni kumine by login in katika platform yao once after every 24 hours. Although it's boring kumine kitu ambacho hakina thamani kwa muda mrefu but uzuri ni kua you have nothing to lose, mpaka hapo itakavyo ingia market ndio utajua thamani yake
 
Hii dhana nataka nijiulize.. what if nikiwa na tunda nyingi za Ukwaju na nikiamua tunda za ukwaju nitazifanya kuwa hela.. (i mean mbegu za ukwaju)

Kwa phase ya kwanza tunatangaza.. phase Hii zinakuwa bure yoyote mwenye nazo akusanye aweke.. wenye roho fupi wanauza kutoka kwa wenye roho ndogo na wasioamini..

Phase two.. ni consolidation mimi muanzilishi wa huu mpango naamua kuanza kuzinunua kutoka kwa kwa waliokusanya na hasa wenye nyingi kwa heightened price...

Phase three ndio nakuja kupiga soko lishaelewa na speculators wameongezeka na mimi nawauzia hao hao wanaotaraji kuona ongezeko la thamani..

Hii inatofauti gani na Hizi coins!?
 
Hebu chafukwa na roho uanze kuzinunua hizo tunda sasa hivi 😊😊😊😊.
Yeah concept ya hizi cryptocurrencies ni kua na limited supply halafu baadae wanaamua kuja kutumia hizo coins katika transactions zao zinakua na perceived value....
 
Kwa hiyo in reality .Coins hazina Really Value.. Na Ni uleule mchezo wa Sarafu ya mjerumani (Utapeli wa Rupia) only this time uko mtandaoni .. sio!?
 
 
Maana yake ni kwamba kwenye financial markets hakuna price ambayo ni too high or too low... Price ina move popote..

Kuna watu huwa wanadhani price ikiwa ndogo sana ndo opportunity ya kununua.. ama ikiwa kubwa sana basi inatakiwa kuuzwa.. sivo ilivo

Mfanyabiashara mahiri hununua bei ikiwa poa na kuuza bei ikiwa juu!! Ukifanya tofauti na hivyo lazima ufilisike!!!
 
Kwa hiyo in reality .Coins hazina Really Value.. Na Ni uleule mchezo wa Sarafu ya mjerumani (Utapeli wa Rupia) only this time uko mtandaoni .. sio!?
Ni kama hizi sarafu na noti tunazotumia pia hazina thamani mpaka zitumike katika exchanges.
 
Ni kama hizi sarafu na noti tunazotumia pia hazina thamani mpaka zitumike katika exchanges.
Hapa Sarafu tunazotumia zina thamani.. na thamani yake ni "Guarantee ya Full Support from the Government"

Ukiuza kitu sh. Elfu kumi nikaja nikakulipa utapokea na kunipa unachokiuza... Ukija unataka US $ nitaenda benki ya serikali wanipe US $ worth 10k TSH.

Ukiwa na Bitcoin 3 (worthy 69000$) ukawa Toyota unataka Gari wanakunyima tuu.. The value exist in the head of the owner na community yake.. πŸ™‚ huku mtaani hata maembe mawili hupati.
 
It's all fun and games now but inakaribia kupata poromoko moja la hatari sana siku za karibuni...only then will it make sense kuinunua
 
Yeah the problem ni how to break down Bitcoin. Kwakua hakuna anaeicontrol itaendelea kua na thamani katika ile cult yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…