Hapana
Mimi nilifundishwa na wazazi wangu kwamba ukitaka kua tajiri na ukafanikiwa maishani na ukawa na furaha,jenga vitu kwa mikono na ubunifu wako ukatafuta wateja wakawauzia ukapata kipato ukaendesha kampuni yako ikafanikiwa..
Nilipofika shuleni,walimu na maprofessors wangu waliniambia fanya innovation,design,jenga,tafuta wateja uza pata fedha,tumia kwa uangalifu,flip again,maximize tena tena....
Hela za kwenda Bitcoin sizipati hewani,nazipata kwa kuendesha biashara yangu kwanza nipate hela ndio nije huko
Kuja huko bila kua na real business ni wizi,hatuwezi jenga taifa la kuuza bitcoins na forex tu,lazima tuzalishe kwa mikono,tushike tope,tugundue viwanda tutoe bidhaa tuuze kwa wateja,sio hizo blah blah
Na vitabu,siomi vitabu vya motvational speakers...nasoma real people with real experiences na hivi vya eti hatua 5 za kufanikiwa,and other blah blah