Nitumie mbinu gani kujifunza kiingereza kwa urahisi

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
3,240
Reaction score
5,625
Heshima kwenu Wakubwa

Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU

Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi

Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu

Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo

Wew unachoto takiwa nikufanya mazoezi ya kuongea sana .sasa inabidi upate mtu wakuongea naye ndio ingekuwa vizuri
 
Kwanza tambua kingereza ni Lugha na sio somo.

Ili kujua lugha ni lazima uiishi, yaani uihusishe kwenye daily activities zako Kwa kusoma, kuandika, kutazama na kusikiliza.

Hatakama bado hujui hiyo lugha Kwa usahihi, jitahidi kusoma maneno yake na kusikiliza hata videos ili uizoee akilini mwako hatakama huelewi kinacho zungumzwa.

Ni jambo la muda mrefu, ila commitment yako ndiyo itakayokupa matokeo mapema.

Good luck.....
 
Back
Top Bottom