secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kuna huyu Daby na InfropreneurHuyo hajafika rank hizo, English yake ya ku translate sana kama dalali wa kihindi.
Kuna huyu Daby na InfropreneurHuyo hajafika rank hizo, English yake ya ku translate sana kama dalali wa kihindi.
Hapa utakuwa mzuri kwenye eneo la kusoma na kusikia ila siyo kuongea.Vitabu
Na movies zenye subtitle
Apite pale kwa Ras simba, anakwambia usipojua ngeli, Ada yako anakurudishia.😁Kuna huyu Daby na Infropreneur
Lugha yoyote bila mazoezi ya kuiongea kila mara, lazima ita evaporate...😂Nikifanya utafiti mdogo kwa nini wabongo wengi hawajui kuongea kiingereza hata baada ya kwenda kozi za English kama Ras Simba na kwingineko.
Nilichokuja kugundua ni kuwa;
Wabongo kabla ya kujifunza kingereza wanakuwa na high expectations kuwa nilienda kozi miezi mitatu tu nakuwa naongea kama mzungu(ndiyo wanavyobiwa) ila katika lugha yoyote hakuna kitu kama iko kuongea kama native speakers kwa muda mfupi. Wakitoka hapo wanajiona mbona hakuna mabadiliko? Wanakata tamaa.
2. Kutopenda/kuogopa kukosea wakati wa
kujifunza.
Wazungu wakija kujifunza kiswahili eanachapia sana mwanzoni ila hawaogopi kukosea maana wanajua hii siyo mother language nipo hapa kujifunza,ila kwa mbongo iko tofauti.
3. Kuongea kiingereza kichwani kabla ya kuongea mdomoni.
Kuna muda mtu anafikiria aongeeje ili aweze kusound kama Msimu au mtaalamu matokeo yake anajikuta akiongea ni tofauti na vile alivyokuwa anawaza kabla hajaongea..matokeo yake anakwama wakati anaongea.
4. Kupungukiwa misamiati ya kingereza.
Lugha yoyote ile ili kuimaster vizuri lazima uwe na vocabularies za kutosha. Vinginevyo hautoboi. Hapa ndiyo linakuja swala la kusoma vitabu na kufollow acc ya wanaoongea kingereza huko mitandaoni.
Mfano Mimi mwenyewe nilikuwa sijui sherehe za uapisho zinaitwaje kwa kiingereza ila nilivyokuwa napitia zile accounts za watu wa nje wanalofanya ukosoaji kwa Samia nikaona neno "inauguration" linajirudia sana. Kuanzia hapo nikaongeza msamiati mpya.
Kujifunza hakuna mwisho kwenye jambo lolote.
Ushauri wangu kwa mleta mada na wengine fafuta watu wanaoongea kingereza alafu jitahidi Kila siku uwe unaongea nao hasa usiku ukiwa kumetulia,angalau nusu saa Kila siku. Utakuwa vizuri.
Kuna mdada slay queen mmoja alinitafutaga akaniambia hiki kitu niwe naongea nae kingereza ili aweze kubust confidenona kuwa vizuri na alifanikiwa. Nami nilifanikiwa pia kwenye jambo Fulani. Ikawa win win situation.
Hahaha, kuana huyu kijana anaitwa mtumba English, ambaye anasema watu wengi hawaongei kiingereza bali kitu kinachofana na kiingereza kwa mbali.Apite pale kwa Ras simba, anakwambia usipojua ngeli, Ada yako anakurudishia.😁
Mkuu, ukitaka kujua kwamba hakuna bingwa wa English nenda Scotland, Northern Ireland na Wales.Hahaha, kuana huyu kijana anaitwa mtumba English, ambaye anasema watu wengi hawaongei kiingereza bali kitu kinachofana na kiingereza kwa mbali.
Mkuu Mimi Bado ninajifunza kiingereza ili at least niweze kuelewana na watu wa maeneo mbalimbali jopo na kupata huduma niitakayo.Mkuu, ukitaka kujua kwamba hakuna bingwa wa English nenda Scotland, Northern Ireland na Wales.
Mzee hiyo English inayozunguzwa na Native speakers wa Scotland hata akija mmarekani watashindwa kuelewana.
Ni sawa na mtu wa simiyu vijijini aje akutane na kiswahili cha wadudu wa Arusha. Kile cha oraa jomba ni gani!
Jambo la muhimu sana hilo mkuu.Mkuu Mimi Bado ninajifunza kiingereza ili at least niweze kuelewana na watu wa maeneo mbalimbali jopo na kupata huduma niitakayo.
Hakika mkuu.Jambo la muhimu sana hilo mkuu.
Lugha ni kitu muhimu sana katika kuwasiliana.
Hasa English ndio lugha kuu ya Dunia.
Taarifa nyingi zipo kwa lugha ya kiingereza, na tatizo kubwa la watanzania hawataki kujifunza lugha hii na maarifa mengi yanawapita.
Jifunze huu wimbo wa "Bwana Shamba had a farm, iai iai ooh" and on his farm he keeps some cows, iai iai ooh! With momoo here, and momoo there! here, moo; there moo, everywhere momoo! Bwana Shamba had a farm, iai iai ooh"Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi
Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu
Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo
Foffana
"Hatakama bado hujui hiyo lugha Kwa usahihi, jitahidi kusoma maneno yake na kusikiliza hata videos ili uizoee akilini mwako hatakama huelewi kinacho zungumzwa"Kwanza tambua kingereza ni Lugha na sio somo.
Ili kujua lugha ni lazima uiishi, yaani uihusishe kwenye daily activities zako Kwa kusoma, kuandika, kutazama na kusikiliza.
Hatakama bado hujui hiyo lugha Kwa usahihi, jitahidi kusoma maneno yake na kusikiliza hata videos ili uizoee akilini mwako hatakama huelewi kinacho zungumzwa.
Ni jambo la muda mrefu, ila commitment yako ndiyo itakayokupa matokeo mapema.
Good luck.....
Vyema sana Mkuu"Hatakama bado hujui hiyo lugha Kwa usahihi, jitahidi kusoma maneno yake na kusikiliza hata videos ili uizoee akilini mwako hatakama huelewi kinacho zungumzwa"
Ahsante sana Mkuu
Kawaida Sana.Kuna huyu Daby na Infropreneur