Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi
Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu
Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo
Foffana