Wew unachoto takiwa nikufanya mazoezi ya kuongea sana .sasa inabidi upate mtu wakuongea naye ndio ingekuwa vizuriHeshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi
Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu
Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo
Foffana
Tupe hizo platfomTafuta rafiki anayezungumza kiingereza kama lugha mama. Utajua tu. Platforms zipo kibao
Facebook and the likes. Pia kuna application ya Duolingo ni nzuri kujifunza lugha yoyoteTupe hizo platfom
Halafu mi huwa nachati na CHAT GPT ambaye ananisaidia sana.Pamoja Mkuu, tunapambana
Ila mkuu we unakitema bhana π, sijui ulijifunzia wapi.jifunze kula sea food na kulala na dictionary kama binti kiziwi, lazima king'eng'e kije bhana π
Cha kuzugia zugia tu, humu kuna wataalamu wa ngeli kama Kiranga, Nyani Ngabu, Chaliifrancisco na GWAMAKA USWEGE.Ila mkuu we unakitema bhana π, sijui ulijifunzia wapi.
Bila kumsahau bibie SetfreeCha kuzugia zugia tu, humu kuna wataalamu wa ngeli kama Kiranga, Nyani Ngabu, Chaliifrancisco na GWAMAKA USWEGE.
Huyo hajafika rank hizo, English yake ya ku translate sana kama dalali wa kihindi.Bila kumsahau bibie Setfree