Soma vitabu vya kiingereza mimi wakati naanza kusoma nilikuwa natumia dictionary ya kiswahili sasa hivi natumia English to English nimeiva balaa ngoja nikupe mfano wa ngeli.Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi
Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu
Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo
Foffana
Nikufundishe ipi? Maana Spoken english mbona unaongea ukiwa na raha zako...Spoken eng..😂😂 written English naona nabahatisha vizuri
Hayo maneno naweza kuyatumia katika maeneo Gani ?!Nikufundishe ipi? Maana Spoken english mbona unaongea ukiwa na raha zako...
Utasikia, My God... Kill me softly...
Ukiwa kwenye raha zako...Hayo maneno naweza kuyatumia katika maeneo Gani ?!
Kwanza siyo lazima sana kukijua. Ikibidi, njia rahisi kujifunza lugha yoyote ni kuiongea. Tafuta mtandaoni vipindi vya tv watoto wanavyojifundishia na wewe utaweza kujifundisha humo.Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa urahisi zaidi
Nakijua kiingereza kwa kiasi tu sijafikia ile level ya kuongea kiingereza kilichonyooka at least dakika 15 tu
Kama una mbinu yoyote ulitumia mpaka ukaiweza kuimaster lugha hii ya malkia naomba tudokezee hapo chini kidogo
Foffana
Hii kali sanaUkiwa kwenye raha zako...
Naomba nikufundishe...Hii kali sana
Muda utaongea 💦
Be my teacher in this 💦😹Naomba nikufundishe...
Uje nikufundishie kwangu ndiyo utaelewa vizuri...Be my teacher in this 💦😹
Tena daily💃🥂Uje nikufundishie kwangu ndiyo untaelewa vizuri...