Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Kumbuka stori ya mgogoro wa Bongo Star Search.
Kijana alieandika lile wazo mpaka sasa analilia na idea yake inasonga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Ndo kama hivyo...wazo kama nzuri mimi nitaweka huyo pesa...tutashirikiana kuifanya wote,..wewe utakula 35% mimi 65%.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nafanya biashara ya vifaa vya simu mwaka wa 7 sasa.
Nimepitia mengi ila nimepiga hatua.
Karibu.
Mi kupatia hapa sebuleni

A

1. Chumba 100000*6 = 600000/=
2. Vyautundikia 3 *130000 390000
3. Vyuma vya kutundikia 1500* 300 = 450000/=
4. Kabati 2 kubwa 1000000/=
5.

Manunuzi mimi nitakuuzia vifaa vyote kwa bei ya kwa sadaka.
1. Glass protecta 700 * pc 1000= 700000
2. Glass za 3d sh 3500 *200 = 700000
3. Makava Autofocas sh 1500 *200=700000
4. Betri bl5c original 5000 *pc 20 =100000
5. Betri bl5c kawaida 2000*pc 50=100000
6. Kobe digital 2000 *20= 40000
7. Kobe kawaida 1500*50= 75000
8. Makava mazur ya wadada 3500*pc 100=350000
9. USB nzuri pc 10 * 1500= 15000
10. Chaja nzuri 3500*50= 175000
11. Makava classic ya Samsung na iPhone 10000 pc 20= 200000.


B

Simu
1. 349 25000 * 20= 500000
2. Itel 20000 *20= 400000
3. Tecno Spak 2 230000 *2 =460000
4. Camon x 2 365000= 730000
5.

C
Laini za tigopesa na mpesa 300000
Utazipa flot kama ya 3000000

D.
Vitu vingine vya kuchanganya kama
1. Cable
2. N.k duka lisiuze hakuna kama 200000

Jumla ni kama 12ml



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ninunue biashara yako ama sjakuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez kumuambia mtu kwenye biashara asifikirie pesa wakati kaweka pesa yake
Huo uhusiano haupo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo 3 mazuri ninayo lakini ni lazima tuweke mikataba na makubaliano kisheria.
 
Ni wazo zuri, japo naona wapo tayari baadhi wanafanya hii biashara lkn nadhan pia 'demand' bado ni kubwa.

Tatizo la mtoa mada na wengi wetu ni tunahitaji biashara ambayo haihitaji uwepo wako kuiendesha maana wengi tayari wana ajira au shughuli nyingine.

Nadhani kuna vijana wengi hawana ajira na pia hawana mitaji, kama jamii ingekuwa nchi hii ingekuwa na desturi ya uaminifu nadhani kuna fursa kubwa sana ya kushirikiana kama wabia kati ya wenye mitaji na mawazo pamoja na wenye muda/nguvu kazi/usimamizi.

Tatizo nchi yetu watu hawaaminiani na pia kuna kasumba za upigaji, mtu ni mbia ila kazi ikija anataka kuifanya kivyake pembeni....hivyo fursa hizo za mashirikiano zinapotea matokeo yake hata mtu akifinya kitu kinakuwa katika kiwango cha chini kwasababu nguvu ya mmoja ni tofauti na nguvu ya wengi...hapa ndipo mataifa kama kenya wanapotuacha mbali.

Kama wasemavyo wahenga....If you want to go fast, go alone but If you want to reach far, go together.
 
Tafuta wataalamu wakuelekeze namna ya kukopesha fedha yaan kuanzisha taasisi za kukopesha. So ukisha pata wataalam hao njoo pm nikupeleke eneo ni soko jipya wahitaji n wengi wa mikopo yenye riba nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikataba ya kisheria ni kitu muhimu mno usijeamini mswahili hata awe na pesa vipi wazo la kibiashara lazima muingie mikataba ya kisheria kabla mtu haijala kwake.
Kwa wazo la biashara mtaingia mkataba gani utakaomlinda mwenye wazo?
 
Fanya biashara ya bidhaa zisizo haribika baada ya muda fulani
 
mkuu hivi vitu unavitoa/unanunulia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…