Papito KInduki
Member
- Jul 3, 2012
- 37
- 36
Kumbuka stori ya mgogoro wa Bongo Star Search.
Kijana alieandika lile wazo mpaka sasa analilia na idea yake inasonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana alieandika lile wazo mpaka sasa analilia na idea yake inasonga
Iko haja ya kuweko mikataba ya kisheria kwenye haya mambo nakumbuka kuna kijana mmoja alikuwa DJ wa muziki akakutana na mzungu akamwbia kwa nini usianzishe radio akasema Sijui pa kuanzia wa kuishia .Mzungu akamweleza Kila kitu hadi vyombo apate wapi nk akasema hela mimi Sina nimekupa wazo basi kijana akaenda kwa tajiri mmoja kumweleza hilo wazo akiomba asaidiwe hela ila hakueleza kwa undani.Tajiri akamwambia kaandike vizuri Kila kitu nisome niangalie nakusaidiaje.Akaandika vizuri mno Kila kitu kwa undani.Alikaa miezi minne Kila akiulizia tajiri anasema yuko busy hajapitia.Mwezi wa tano akakuta redio iko hewani tajiri kaanzisha ya kwake na akakata mawasiliano na Yule kijana Moja kwa Moja.Labda utusaidie kwa mtoa wazo ulinzi wa idea yake kisheria umekaaje? Yasi mkute ya wa radio
Sent using Jamii Forums mobile app