Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Tumia asali kupaka na kusugua then iache ikauke kaa nayo hata masaa 5 then osha uso,fanya hivi mara 2 kwa siku baada ya siku 5 chunusi zote zitakauka na kutokomea,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari hana ila BP anayoAmewahi kupima Sukari?
Hayo maji unakunywa kwa wakati mmoja au zaidi ya mara mojaNilichuma saizi ya kiganja changu nikayaosha kisha nikachemsha maji nusu kikombe, nikayaepua kisha nikadumbukiza humo hayo majani yakakaa daki 2-3 kisha nikatafuna nikanywa na maji yake.
Kwa wakati mmoja maana hayana madhara... Wengine hutumia hayo majani kama mbogaHayo maji unakunywa kwa wakati mmoja au zaidi ya mara moja
Moja ya changamoto inayowasumbua wanawake wengi ni hii.Nimekutana na wanawake wengi sana wenye shida hii na wanakiri kabisa kuwa wanapata fedheha kubwa.Unakuta mtu amechoma na sindano na kutumia Ant biotics za kila aina tatizo linapungua, lakini baada ya muda fulani tatizo linarudi kwa kasi.Ipi tiba Kwa Mwanamke mwenye PID sugu, kutoka maji meupe mazito kwenye uke wakati wa tendo yanatoa harufu ya kuudhi
Katumia vidonge vya kuweka ukeni box lina ua na azuma mara kadhaa lakini tatizo linarudi
Kinauma kwa mtindo upi?Nasubiri shuhuda za watu wanaoumwa vichwa sana bila kujua sababu na namna gani wamepona.
Mume wangu anaumwaga kichwa sana since he was teen.
Unapata dalili zipi za hiyo UTI sugu??Dawa Ya UTI sugu ni nini
Pole sana.Shida uko chuoni hata uwezo wa kupata mitishamba huna.Kuna aina ya mitishamba unachimba na kuchemsha mchanganyo wake unatumia ndani ya siku tano tu! Hata kama umeshindwa kabisa kukojoa kwa sababu ya gono ndani ya masaa 24 lazima njia izibuke! Shida wakati mwingine lugha ni changamoto maana ina majina ya asiliKwanza kabisa nashukuru sanaa kwa maelezo yako mkuu ...ila in short sio kwamba nimefakamia mwanamke mwenye PID Hapana bali ilitokea kwa sababu tu ya uchafu wa vyoo kwa sababu mimi ni mwanachuo hivo nilikuwa nakaa hostel ....na nilichelewa kutumia dawa mapema lakini pamoja nakutumia dawa lakini ilikuwa bure ,dalili nilizonazo ni maumivu wakati wak wa haja ndogo,mostly nikinywa maji mengi sanaa lakini muda mwingine hakuna maumivu na ni muda sanaa almost toka 2021 Mpaka sasa hivi hili tatizo linanisumbua sanaa mkuu
Mkuu ahsante sanaa ila kuhusu kupatikana kwa hiyo dawa lisikupe tabu hilo halina shida maana nipo mkoa ambao upatikanaje wake unaweza kuwa mrahisi maana nipo na wazee fulani kwenye mazingira ambayo naishi hivyo sidhani kama watakuwa hawajui ...so nakuomba sanaa utume hata picha ya huo mti mkuu nitashukuruPole sana.Shida uko chuoni hata uwezo wa kupata mitishamba huna.Kuna aina ya mitishamba unachimba na kuchemsha mchanganyo wake unatumia ndani ya siku tano tu! Hata kama umeshindwa kabisa kukojoa kwa sababu ya gono ndani ya masaa 24 lazima njia izibuke! Shida wakati mwingine lugha ni changamoto maana ina majina ya asili
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Anavaa miwani, mara nyingi wanambadilishia lensi lakini tumegundua tatizo si macho.Kinauma kwa mtindo upi?
Upande,katikati au usoni kama kipanda uso?
Alishapata uchunguzi wa vipimo wataalamu wakasema shida ni nini??
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kiongozi hapo umeongelea blood viscosity naomba unielimishe zaidi kuhusu hilo jambo maana kuna Dr. nilimuulizia akanielezea japo katika maelezo yake alisema haina shida.Pole sana!
(Blood viscosity
Vascular resistance
Cholestrol) Haya ninmiongoni mwa matatizo yaambatanayo na shida katika moyo. Maana yake unaweza kuwa na shida ya mishipa yako ya damu inayosababisha mzunguko wako wa damu kutokuwa mzuri.Ndiyo maana ukifanya mazoezi hali inakuwa nzuri kukiko ukikosa mazoezi.Watu wengi sana wana shida hizi bila kujijua na dalili ni zilezile unazoainisha hapa.Bahati mbaya sana hata katika hosp zetu imekuwa ngumu kubaini labda utembelee hosp kubwa zenye wataalam wa hali ya juu. Andaa Tonic juice yako kama nilivyoelekeza katika uzi wangu uliopita utumie baada ya mwezi leta mrejesho hapa.
Lakini pia kama unaweza kupata mmea wa Mkundekunde na mwembe pori.Unga wa mizizi yake unautumia katika maji ya moto kila siku kwa siku 21.Hiyo itakusafisha mishipa yako ya damu vizuri kama bomba la maji lililozibuliwa baada ya kuziba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sawa dokta miziziKunywa marobaini iliyochemshwa jioni ikapoa unywe alfajiri mwili wote utatikisika
Mwarobauni ni dawa ila sijui unatibu nini
Sio mbobevu Ila kwa hii diagnosis ya haraka haraka utakua una tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD)pembeni ya tumbo kunakama kitu kinakuwa kama kinakwangua tumbo alfu sasa kinakuwa kinanichosha. napiga miayo balaaah. mkono wangu wa kushoto na mguu wangu wa kushoto Auna nguvu sasa hili ndio moja ya tatizo linalo nitesa sana tumboni kwangu cjui kuna nini mkuu . nilisha enda hospital kupimwa lakn nikaambiwa hakuna ungonjwa . nikisimama kujinyosha nahic kizungu zingu