B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Nice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaua dokta utaua mgonjwa vitunguu Saumu ukila vingi vina side effect na moja wapo ni kusababisha kiungulia (heartburns) inashauriwa ule punje 1-2 kwa ajili ya afya yako kwa siku sio unabugia kichane kizima kichwa chako kijiandae maana ukila Kitunguu Saumu hua kinakimbilia kwenye kichwa kuamsha ma-vampireTAFUNA FUNGU ZIMA LA KITUNGUU SWAUMU ASUBUHI NA MCHANA FUNGU MOJA MOJA.
KWA MIEZI MIWILI NA KUENDELEAA. TAFUNA VIBICHI USIPONDE.
mimi nina shida ya maumivu ya miguu nshafanya vipimo vingi kama kucheki cholestrol,glucose,uric acid na vengine ! kuna dr alinambia itakuwa mishipa ya damu ila kaishia kunipa dawa za maumivu naweza kutumia dawa gani kwa ajili yakuongeza mzunguko wa damuPole sana!
(Blood viscosity
Vascular resistance
Cholestrol) Haya ninmiongoni mwa matatizo yaambatanayo na shida katika moyo. Maana yake unaweza kuwa na shida ya mishipa yako ya damu inayosababisha mzunguko wako wa damu kutokuwa mzuri.Ndiyo maana ukifanya mazoezi hali inakuwa nzuri kukiko ukikosa mazoezi.Watu wengi sana wana shida hizi bila kujijua na dalili ni zilezile unazoainisha hapa.Bahati mbaya sana hata katika hosp zetu imekuwa ngumu kubaini labda utembelee hosp kubwa zenye wataalam wa hali ya juu. Andaa Tonic juice yako kama nilivyoelekeza katika uzi wangu uliopita utumie baada ya mwezi leta mrejesho hapa.
Lakini pia kama unaweza kupata mmea wa Mkundekunde na mwembe pori.Unga wa mizizi yake unautumia katika maji ya moto kila siku kwa siku 21.Hiyo itakusafisha mishipa yako ya damu vizuri kama bomba la maji lililozibuliwa baada ya kuziba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hii ni home remedy:Tumia asali kupaka na kusugua then iache ikauke kaa nayo hata masaa 5 then osha uso,fanya hivi mara 2 kwa siku baada ya siku 5 chunusi zote zitakauka na kutokomea,
Home remedy:Ipi tiba Kwa Mwanamke mwenye PID sugu, kutoka maji meupe mazito kwenye uke wakati wa tendo yanatoa harufu ya kuudhi
Katumia vidonge vya kuweka ukeni box lina ua na azuma mara kadhaa lakini tatizo linarudi
Tafuta mnyonyo au kuna mti nimeusahau jina Ila ndio tiba unakamulia au ndulele kamulia majimaji yake kwisha habari hio ni home remedy kabla haujaenda kuulizwa una bima?!Tatizo la kuunguruma Kwa masikio linakuwa Kwa Kasi na limewakumba wengi . Nini tiba yake?
Pole sana.Kama utaweza tuwasilianemimi nina shida ya maumivu ya miguu nshafanya vipimo vingi kama kucheki cholestrol,glucose,uric acid na vengine ! kuna dr alinambia itakuwa mishipa ya damu ila kaishia kunipa dawa za maumivu naweza kutumia dawa gani kwa ajili yakuongeza mzunguko wa damu
Huo ni mnato wa damu. Ni kipimo cha unene na mnato wa damu ya mtu binafsi. Ni kipimo cha moja kwa moja cha uwezo wa damu kutiririka kupitia mishipa ya damu.Kiongozi hapo umeongelea blood viscosity naomba unielimishe zaidi kuhusu hilo jambo maana kuna Dr. nilimuulizia akanielezea japo katika maelezo yake alisema haina shida.
Chanzo chake,dalili zake na tiba yake
shukran mkuu ubarikiwe sanaSio mbobevu Ila kwa hii diagnosis ya haraka haraka utakua una tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD)
Yaweza ikawa na madaktari hawa wetu hawa Panadol mkononi hawawezi kuligundua hili tatizo
Ntakupa home remedy:
Asali kijiko kikubwa kimoja asubuhi na kimoja jioni
Siku 7/14/21
Au
Baking soda kijiko kimoja kikubwa changanya na maji glass moja kunywa kila unapoamka kabla haujaweka kitu chochote kinywani hata kabla hujapiga mswaki kunywa
Ni asubuhi tu ukitoka kuamka
Siku 7/14/21
Amini Imani yako itakuponya na utapona.
Epuka vifuatavyo:
Vyakula vya ngano km chapati usile
Carbonated drinks zote usinywe km soda ya Coca-Cola na zingine, energy zozote usinywe
Pombe kaa mbali usinywe
Sigara usivute km unavuta acha mara moja
Tumbaku km unatumia Sigara Kali acha mara moja
Bangi km unavuta acha kuvuta subiri hadi upone kwanza
Usile sana chakula mpaka ukavimbiwa kula kwa kiasi ukila kupitiliza inasababisha kiungulia
Usilale baada ya kula ukilala baada ya kula inasababisha kiungulia na chembe ya moyo kuwaka Moto
Usinywe maji mengi baada ya kula ukimaliza kula subiri mda kidogo chakula kitulie ndio unywe maji
Epuka vyakula vyote vyenye asidi
Nini ufanye upone haraka:
Kula matunda yenye majimaji na vitamini kwa wingi km ndizi, parachichi, matango, nk
Epuka matunda yenye asidi kwa wingi
Kula mbogamboga kwa wingi ukiweza kula supu za mbogamboga km supu ya mchicha, nk
Jaribu kuongeza Kinga ya mwili utashangaa mapele yote YANAPOTEA KWA KASI.
Kula matunda kila siku, pamoja na kutumia vitunguu swaumu asubuhi na jioni kwa sababu vina antibiotic, antiviral na antifungal properties.
Yale madawa unayojipaka yatazidi kuua bakteria wazuri wa kwenye ngozi. ACHANA NAYO.
PIGA VITUNGUU SWAUMU KILA SIKU KWA MIEZI MIWILI USIPOPONA NAJIONDOA JAMIIFORUMS NAJITOSA BAHARINI.
kopa waza pesa utaishiwa tu nguvu z kiumeMhuu hii sina uelewa nayo Mkuu.Maana tatizo hili siyo changamoto kwenye jamii.Changamoto kubwa ni kukosa hamu na nguvu.Ingekuwa hivyo yenyewe unapata bila wasiwasi.Subiri wajuvi wengine waje
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hii tonic Nimeanza leo ingawa nilikosa Ndimu ya kukausha nikatumia limao la majiPole sana!
(Blood viscosity
Vascular resistance
Cholestrol) Haya ninmiongoni mwa matatizo yaambatanayo na shida katika moyo. Maana yake unaweza kuwa na shida ya mishipa yako ya damu inayosababisha mzunguko wako wa damu kutokuwa mzuri.Ndiyo maana ukifanya mazoezi hali inakuwa nzuri kukiko ukikosa mazoezi.Watu wengi sana wana shida hizi bila kujijua na dalili ni zilezile unazoainisha hapa.Bahati mbaya sana hata katika hosp zetu imekuwa ngumu kubaini labda utembelee hosp kubwa zenye wataalam wa hali ya juu. Andaa Tonic juice yako kama nilivyoelekeza katika uzi wangu uliopita utumie baada ya mwezi leta mrejesho hapa.
Lakini pia kama unaweza kupata mmea wa Mkundekunde na mwembe pori.Unga wa mizizi yake unautumia katika maji ya moto kila siku kwa siku 21.Hiyo itakusafisha mishipa yako ya damu vizuri kama bomba la maji lililozibuliwa baada ya kuziba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Safi sana,hongera kwa kuthubutu kujaribu! Kwa kuwa umekosa limao ya unga,hakikisha sasa unatumia limao ya kutosha ya maji ili iwe kali kidogo.Hii tonic Nimeanza leo ingawa nilikosa Ndimu ya kukausha nikatumia limao la maji
Kuna mabadiliko kidogo nayaona kwanza Nimekua na msukumo wa kufanya mazoezi ingawa bado maumivu bado Ninayo lakini ile hali yangu ya kufanya mazoezi naiona
Nimekua na utulivu wa kihisia, uchovu umepungua
Sasa mkuu nikiongeza na Asali Vipi itakua poa? maana hii juisi inaonekana nikiweka asali Itabamba Sana
Mkuu hii dozi ni asubuhi na jioni ama ni mara moja tuu kwa siku? Pili,asubuhi ni kabla ya kula chochote au ni baada ya kifungua kinywa?Taja ugonjwa uliokusumbua na namna ulivyopona... Yani dawa iliyokuponyesha.
Mimi nilisumbuka na vidonda vya tumbo kiasi kwamba ilifika mahali ikawa haja kubwa inatoka na damu, nikaishiwa hadi damu ila nikaja kusoma hapa jamiiforum kwamba mashona nguo ni dawa ya vidonda vya tumbo.
Nikatumia kama ilivyoelezwa kwamba ni asubuhi kwa siku 3, sasa nilituma siku mbili tu nikapona na mpaka leo nipo fiti hadi pombe kali nagonga, maharage, pilipili na mazagazaga ya aina zote.
Kuna watu wanasumbuka na kuingia gharama hata za mamilioni kumbe nje kwake kuna dawa ya muda mfupi tu ambayo unakuta ni majani yamejiotea tu
Hayo mashona nguo nilitumia siku 2 nikaacha kutokana na hofu sababu mwelezaji aliweka tahadhari kwamba ukitumia muda mrefu yanasababisha kuwasha kwa figo
View attachment 2557696
Mara moja asubuhi kwa siku 3...uwe umekula au haujala sababu majani yenyewe ni kama mboga tuMkuu hii dozi ni asubuhi na jioni ama ni mara moja tuu kwa siku? Pili,asubuhi ni kabla ya kula chochote au ni baada ya kifungua kinywa?
Shukrani mkuuMara moja asubuhi kwa siku 3...uwe umekula au haujala sababu majani yenyewe ni kama mboga tu
Asante mkuuSafi sana,hongera kwa kuthubutu kujaribu! Kwa kuwa umekosa limao ya unga,hakikisha sasa unatumia limao ya kutosha ya maji ili iwe kali kidogo.
Mimi huwa ninayo Tonic iliyoandaliwa special kwa ajili ya wagonjwa wangu.
Pamoja tunaweza[emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app