Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
- Thread starter
- #501
Kuna kitu kinaitwa black fungi,unakuta imesagwa vizuri ni nyeusi rangi ya mkaa uliosagwa vyema.Kama unaweza kuipata niambie nikuelekeze pia namna unavyoweza kuitumia sambamba na hiyo Tonic.Asante mkuu
Ndimu ya unga naipata leo
Nikimaliza dozi, Nitaleta mrejesho hapa
Shukrani sana
Nakuhakikishia baada ya mwezi.Utanitumia zawadi nzuri.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app