Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
- Thread starter
-
- #21
Katakata limao tano, changanya na vitunguu maji vitatu halafu pondaponda punje sita za vitunguu swaumu. Changanya mchanganyo huo katika lita moja ya maji na uchemshe, chuja upate mchujo safi halafu weka vijiko 15 vya asali koroga tayari kwa matumizi.Tumia vijiko 3×3Kikohozi hadi sauti kukauka mtu anaweza kutumia nini? Achana na dawa za hospital
Limao unamenya au na maganda yake?Katakata limao tano,changanya na vitunguu maji vitatu halafu pondaponda punje sita za vitunguu swaumu.Changanya mchanganyo huo katika lita moja ya maji na uchemshe,chuja upate mchujo safi halafu weka vijiko 15 vya asali koroga tayari kwa matumizi.Tumia vijiko 3×3
Ugonjwa wa ini ni ugonjwa hatari sana, maana ni kiungo nyeti sana katika mwili wa binadamu.Ipo mitishamba inayotibu ini lakini endapo tu kama halijafikia kiwango cha kuharibika.Ini likashaharibika huwa ni kuomba kudra za mwenyezi Mungu.Tiba ya asili ya ugonjwa wa INI ni ipi?
Na maganda yake!Limao unamenya au na maganda yake?
Huu mchemsho inabidi kupasha kila unapohitaji kunywa au ukichemsha mara moja inatoshaKatakata limao tano,changanya na vitunguu maji vitatu halafu pondaponda punje sita za vitunguu swaumu.Changanya mchanganyo huo katika lita moja ya maji na uchemshe,chuja upate mchujo safi halafu weka vijiko 15 vya asali koroga tayari kwa matumizi.Tumia vijiko 3×3
Kwa kiwango fulani huweza kuleta msisimko, maana ni aina ya lishe ambayo huchochea mzunguko wa damu. Mzunguko wa damu unapokuwa vizuri katika mwili wa binadamu, damu hufika kila mahali. Lakini inategemea na tatizo ila kwa nia ya kuboost ni mojawapo ya kiungo muhimu, vingine ni Karanga mbichi, asali, mbegu za parachichi na maboga, asali na aina yote ya vyakula vyenye madini chumaJe, shubiri hurudisha nguvu za kiume?
Mara moja, hauwezi kuharibika. Maana limao huzuia pia kuharibikaHuu mchemsho inabidi kupasha kila unapohitaji kunywa au ukichemsha mara moja inatosha
Kuna mtu ana 1Mil akipewa dawa apone tatizo la nguvu za kiume tu! Adindishi tunafanyaje tule hela?Kwa kiwango fulani huweza kuleta msisimko,maana ni aina ya lishe ambayo huchochea mzunguko wa damu.Mzunguko wa damu unapokuwa vizuri katika mwili wa binadamu,damu hufika kila mahali.Lakini inategemea na tatizo ila kwa nia ya kuboost ni mojawapo ya kiungo mhimu,vingine ni Karanga mbichi,asali,mbegu za parachichi na maboga,asali,na aina yote ya vyakula vyenye madini chuma
Hapana! Kwa umri huo mchanganyo huo ni mkali sana! Mchanganyo huo ni kwa mtu mzima.Hii dawa itafaa kwa mtoto wa miaka 3 kasoro anayesumbuliwa kikohozi zaidi ya miezi 7, kanywa dawa za kutosha za hosptalini mpaka kilimi kimekatwa. Still anakohoa
Swali langu linahusu meno nimeuliza huko juuMaswali yanayoingia ni mengi kwa hiyo siwezi kuyajibu yote kwa wakati mmoja.Ukiona sijajibu vumilia nitajibu.