[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] nimechukua toka google nadhani pengine kuna kosa ama majina yanaweza kuwa yanafananaMkuu Mshana Jr. Bado Tuko kwenye Oktava ya Mwaka mpya 2022. Happy New yr.[emoji1787] aithee.
Huo mti uliooneshwa hapo kwenye picha wenye maua makubwa mekundu SIO Mjafari...
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] nimechukua toka google nadhani pengine kuna kosa ama majina yanaweza kuwa yanafanana
Poa kaka wa nyika na vome.nimechukua toka google nadhani pengine kuna kosa ama majina yanaweza kuwa yanafanana
Mkuu hongera kwa kutujali picha haioneshi vema majani ya mti huo tafadhali piga picha majani yake kwa karibuMungu ni mwema Watanzania wenzangu maana ishara ya baraka kutoka kwake (Mvua) tunaendelea kuishuhudia, mfano hapa nilipo mimi ni tangu asubuhi mpaka sasa inaendelea kunyesha!
Watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa ya uvimbe katika sehemu mbalimbali za miili yao, inaweza kuwa tumboni, kwenye utumbo, figo, mirija ya uzazi na sehemu nyingine za mwili. Asilimia kubwa hufanyiwa upasuaji ili kuondoa vimbe hizo na wengine kulingana na unyeti wa sehemu zilipo wanaendelea kuishi kwa matumaini ya kutumia vidonge vya kutuliza maumivu huku siku zikisogea,na asilimia ndogo hupata suluhisho kupitia tiba mbadala na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji wowote.
Mti huu wa Nsuha (rejea katika picha) unafanya kazi hii ya kuondoa uvimbe mwilini kwa ufanisi mkubwa sana kama utazingatia uandaaji na matumizi yake, kila sehemu yake ni dawa lakini kwa mimi hapa nazungumzia mizizi yake. Mizizi yake huvunwa na kukaushwa (siyo juani) vyema ili isipoteze ubora na baadaye husagwa vizuri kwa ajili ya matumizi.
Mtu mwenye uvimbe wa aina yoyote anaweza kuitumia kwa muda wa mwezi mmoja tu akapata nafuu na kupona kabisa tatizo. Asubuhi na jioni kijiko kimoja cha chai katika maji moto ama uji. ACHA KUPUUZA NA KUDHARAU VITU.
Kuna miti mingi sana yenye uwezo wa kuondoa kabisa vimbe sugu katika mwili wa binadamu, na inaweza hata kuchanganywa miwili ama mitatu kwa ufanisi na ikatoa matokea makuu sana kwa ajili ya kujifunza tutajifunza mmoja baada ya mwingine. Usiogope kujaribu mitishamba ni hazina kubwa sana.
Mungu akubariki!
Ezekiel 47:12.
View attachment 2086499
Ndiyo,ina miiba ndugu yanguMkuu hii miti inakuwa na miiba ama sio picha kidogo haijawa rahisi kuutambuwa.
Tafuta chanzo cha tatizo lako ndipo unaweza kujitibu vizuri.Yawezekana una magonjwa ya mfumo kama kisukari,Moyo n.k.Yawezekana una changamoto binafsi za maisha n.k.Kwa hiyo ukitibu tatizo la msingi automatically nguvu za kiume zinarejea otherwise uwe ulizaliwa na tatizo hilo.Nina tatizo la nguvu za kiume na kibamia. Naomba msaada
Sasa hili la kibamia litakua linasababishwa na changamoto gani kwa mfanoTafuta chanzo cha tatizo lako ndipo unaweza kujitibu vizuri.Yawezekana una magonjwa ya mfumo kama kisukari,Moyo n.k.Yawezekana una changamoto binafsi za maisha n.k.Kwa hiyo ukitibu tatizo la msingi automatically nguvu za kiume zinarejea otherwise uwe ulizaliwa na tatizo hilo.
ulitahiriwa ukiwa mdogo sanaSasa hili la kibamia litakua linasababishwa na changamoto gani kwa mfano
InategemeanaSasa hili la kibamia litakua linasababishwa na changamoto gani kwa mfano
Dah...kweli aisee...yaani Hali ikiendelea hivi...tutakwenda mahakamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Punyeto imekuwa ikisingiziwa sana, hata hivyo….. mnashindana maumbile ili iweje.!
Nilitahiriwa nikiwa form five Njombe kwenye operation dondosha mkono swetaulitahiriwa ukiwa mdogo sana
Mi nimejikuta nipo hivi. Sasa hapo nitajuaje kama ni mipango ya Mungu au chango? Punyeto siyo mambo yanguInategemeana
1.Yawezekana ni maumbile yako tangu kuzaliwa.Hilo huwezi kubadilisha.Ni kama size ya mguu huwezi kulazimisha urefuke uvae kiatu namba 10 badala ya 8.
2.Yawezekana umeathirika na punyeto,kwa baadhi ya watu jambo hili unapoliendekeza kwa muda mrefu,hulegeza uume,na kuufanya uwe dhoofu kila wakati na wakati mwingine kuathiri hormon zinazohusika na kuratibu maumbile ya uume.
3.Kuna watu huwa wana chango ambalo ukiugua bika tiba kwa muda mrefu linaweza kuwa linarudisha maumbile ya uume ndani na kuyafanya kuwa madogo zaidi kadri ya siku na hii huenda sambamba nanutendaji wake wa kazi kwa maana ya nguvu za kiume.
Haya mawili ya mwisho yanaweza kuwa na suluhisho lakini hilo la kwanza ni la Mungu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app