Sasa tamaa yako kwenye hiyo biashara inatokana na nini? Yaani nini kimekufanya upende kufanya hiyo biashara ilihali hujui pakupata bidhaa wala pa kuiuza?Natamani sana kufanya biashara ya dagaa kamba(prawns), nahitaji kujua mtaji wa kuanzia, wapi nitawapata na wapi nitawauza.
Naomba majibu yenye uhakika maana sijawahi fanya hiyo biashara.
Wee ndo unazo karanga unataka pakuuzia au unazitafuta?Habar mkuu!! Mimi natafuta soko la karanga, nipo dodoma
Mkuu njoo pm nikuelekeze kwa mty yuko kariakoo. Wao wanauza chupi na nguo za ndani za wadada wana maduka matatu.Mkuu, mimi naomba kujua wapi ni soko bora la kuagiza chupi za wanawake imara za jumla(grade A).
Ukiona hadi nimeandika hapa ujue ninazo taarifa ambazo kwa ufahamu wangu naziona sio sahihi ndo mana nimeuliza.Sasa tamaa yako kwenye hiyo biashara inatokana na nini? Yaani nini kimekufanya upende kufanya hiyo biashara ilihali hujui pakupata bidhaa wala pa kuiuza?
NinazoWee ndo unazo karanga unataka pakuuzia au unazitafuta?
Mimi ninazo natafuta sokoWee ndo unazo karanga unataka pakuuzia au unazitafuta?
NyeupeKaranga ngeupe au zile nyekundu
Jaribu na Soko la Kutembea Hasa Kwenye Maofisi Mijini Uku Waweza pata SokoNatafuta soko LA mayai ya kuku wa kienyej LA uhakika,Niko pugu kila mmoja anafuga kuku madukani mayai yamejaa
Jaribu na Soko la Kutembea Hasa Kwenye Maofisi Mijini Uku Waweza pata Soko
Kama Mahala Nilipo Wanapenda sana Mayai ya kienyeji Sema ndo Hakuna Wauzaji.. jaribu Ilo
Unauza Bei Gani!????[/QUO
Asante kwa ushauri wako ,,ngoja nianze na maofisini .tray moja 15000/=
Asante kwa ushauri wakoTry moja 15000/=
Maharage aina gnMkuu nina maharage yangu store nahitaji kujua wapi nitapata soko la uhakika
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app